Amina Omari

Infographics

Suala la muda tu Lameck lawi kutua Simba, Azam FC

TANGA: KLABU ya Coastal Union imethibitisha kupokea ofa kutoka timu tatu za Ligi Kuu Tanzania bara wakiwemo Simba SC, Azam…

Soma Zaidi »
Featured

Aweso: Yanga haishikiki, Simba tuvumilie

DODOMA:Waziri wa Maji, Jumaa Aweso ameipongeza Timu ya Yanga kwa kuendelea kuwa katika kiwango bora kwenye michuano mbalimbali inayoshiriki. Akizungumza…

Soma Zaidi »
Infographics

Bei ya pamba yapanda, wakulima wabaki njia panda

SIMIYU: Serikali imetangaza rasmi bei elekezi ya ununuzi wa zao la pamba katika msimu wa mwaka 2024/2025 kuwa ni Sh…

Soma Zaidi »
Diplomasia

Vyuo pamoja katika kubadilishana maarifa

DAR ES SALAAM: CHUO Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), kinashirikiana na vyuo vingine katika kubadilishana maarifa, hivyo kudhamiria kuanzisha…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Chicharito:Hersi mfano kwa vijana

DAR ES SALAAM: Chicharito: Hersi mfano kwa vijana UTENDAJI bora, uthubutu na maono imeelezwa kuwa ndio sababu ya vijana wengi…

Soma Zaidi »
Featured

Waliopanga kumuua Zelensky wakamatwa

KIEV, Ukraine – Maafisa wawili wa Usalama ambao walidaiwa kuwa sehemu ya njama ya kuwaua maafisa wakuu wa serikali na…

Soma Zaidi »
Kimataifa

Marekani yasitisha msaada wa silaha Israel

GAZA, Palestina – Marekani imesitisha mpango wa kupeleka shehena ya silaha kwa Israel, katika hali inayoonyesha kupinga uamuzi wa Israel…

Soma Zaidi »
Kimataifa

Mvua yakatisha mawasiliano Kenya, Sudan Kusini

NAIROBI, Kenya – Barabara kuu ya Kitale–Lodwar–Juba imekatika kabisa na hivyo kuathiri uchumi wa eneo hilo na kuathiri mawasiliano kati…

Soma Zaidi »
Kimataifa

Hitilafu yakwamisha maelfu uwanja wa ndege

UINGEREZA – Maelfu ya wasafiri wamekwama katika viwanja vya ndege huko Uingereza kutokana na hitilafu ya mfumo wa kielektroniki wa…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Steve Mweusi aomba sapoti ya serikali

 MCHEKESHAJI maarufu nchini Steve Moses ‘Steve Mweusi’ ameelezea changamoto anazokutana nazo kwenye sanaa hiyo ikiwemo upungufu wa vitendai kazi, hivyo…

Soma Zaidi »
Back to top button