Selemani Nzaro

Tanzania

Mabasi yatozwa faini kupandisha nauli

MAMLAKA ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA), imeyachukulia hatua mabasi 62 ikiwa ni pamoja na kuyatoza faini ya Sh 250,000 kila…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Yanga, Azam FC vita ya kileleni

VINARA wa Ligi Kuu Bara, Yanga wanatarajiwa kushuka dimbani leo dhidi ya wenyeji Azam FC katika mchezo wa mzunguko wa…

Soma Zaidi »
Infographics

Halmashauri yaanza kufuatilia marejesho nyumba kwa nyumba

HALMASHAURI ya Mji wa Geita imeanzisha ufuatiliaji wa marejesho ya mikopo isiyo na riba kwa makundi maalumu, nyumba kwa nyumba…

Soma Zaidi »
Wanawake

Irnestina, mwanamke aliyejikomboa kiuchumi kwa ubunifu

Kwa sasa anamiliki kiwanda, biashara 18 Ana tuzo tatu, ikiwemo ya Malkia wa Nguvu  MITANDAO ya kijamii imekuwa changamoto kwa…

Soma Zaidi »
Kanda

Aapa kuwaweka pabaya wanaowapa mimba wanafunzi

MKUU wa Mkoa wa Rukwa, Queen Sendiga ameapa kuwa walimu ‘wakware’ na wote wanaodaiwa kumaliza nje ya mahakamani mashauri ya…

Soma Zaidi »
Tanzania

Tanzania yapaa kimataifa vita dhidi ya rushwa

MKURUGENZI Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Salum Hamdun amesema Tanzania imetambulika kuwa ni moja ya…

Soma Zaidi »
Tanzania

Polisi wakamata meno ya tembo, nyama ya nyati

JESHI la Polisi mkoani Rukwa limekamata meno ya tembo 11 na nyama ya nyati vipande 56, vyote vikiwa na thamani…

Soma Zaidi »
Tanzania

Dk Tulia: Fanyeni kazi, acheni majungu

SPIKA wa Bunge ambaye pia ni Mbunge wa Mbeya Mjini, Dk Tulia Ackson amewataka wananchi kuacha tabia za kuendekeza majungu…

Soma Zaidi »
Jamii

Nyamapori bila kibali yamtupa jela miaka 10

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi, Mkoa wa Tabora imemuhukumu kutumikia kifungo cha miaka 10 jela, Kedo Malikani, mkazi wa Kijiji cha…

Soma Zaidi »
Jamii

Mtoto aliyeibwa apatikana, mwizi abambwa

BAADA ya kuripotiwa wizi wa mtoto wa kiume mwenye umri wa miezi saba Desemba 20, mwaka huu katika wilaya ya…

Soma Zaidi »
Back to top button