Biashara

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Maonesho ya biashara, viwanda kivutio Dar

Maonesho ya biashara, viwanda kivutio Dar

“MAONESHO ya kimataifa ya Afrika Mashariki ni muhimu sana kwa ajili ya sekta ya viwanda, lakini zaidi tunafurahi kwamba maonesho…
Mazao ya Tanzania yapata soko zuri kimataifa

Mazao ya Tanzania yapata soko zuri kimataifa

SERIKALI imesema mazao kutoka Tanzania, yamekuwa yakiuzwa kwenye soko la  kimataifa, ikiwemo Nchi za Jumuiya ya Ulaya pasipo mashaka yoyote…
Watakiwa kujenga utamaduni kuweka akiba

Watakiwa kujenga utamaduni kuweka akiba

WANANCHI wametakiwa kujengea utamaduni wa kujiwekea akiba ya fedha, ili ziweze kuwasaidia kwa maisha ya baadae. Mwezeshaji kutoka Taasisi ya…
Bodi TGDC yatembelea miradi ya kimkakati Mbeya, Songwe

Bodi TGDC yatembelea miradi ya kimkakati Mbeya, Songwe

BODI ya Wakurugenzi ya Kampuni ya Uendelezaji Jotoardhi nchini (TGDC), imekamilisha ziara ya siku tatu kutembelea miradi ya kimkakati inayotekelezwa…
Stanbic Tanzania yajikita kusaidia wajasiriamali

Stanbic Tanzania yajikita kusaidia wajasiriamali

BENKI ya Stanbic Tanzania imetilia mkazo dhamira yake ya kusaidia wajasiriamali wadogo na wa kati kwa kutoa huduma zinazokidhi mahitaji…
NBC kushirikiana na Kano kukopesha pembejeo wakulima

NBC kushirikiana na Kano kukopesha pembejeo wakulima

BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC) imetia saini mkataba wa maridhiano na Kampuni ya Kano Equipment ili kutoa mikopo nafuu…
SBL yakabidhi mradi wa maji wa Sh mil 293

SBL yakabidhi mradi wa maji wa Sh mil 293

KAMPUNI ya Bia ya Serengeti (SBL) imekabidhi mradi wa maji wa Kihanju uliopo Itigi mkoani Singida ambao umefadhiliwa na kampuni…
Hati fungani ya NMB yatuzwa kimataifa

Hati fungani ya NMB yatuzwa kimataifa

HATI fungani ya NMB Jasiri ya Benki ya NMB imechaguliwa kuwa mshindi wa kwanza wa tuzo mpya ya Hati Fungani…
Serikali yapokea maoni zaidi kuhusu tozo

Serikali yapokea maoni zaidi kuhusu tozo

SERIKALI imesema inaendelea kupokea ushauri na maoni kuhusu tozo baada ya uamuzi wa kufuta na kupunguza baadhi uliotolewa bungeni juzi.…
Balozi apigilia msumari ujenzi bomba la mafuta

Balozi apigilia msumari ujenzi bomba la mafuta

BALOZI wa Ubelgiji, Luxembourg na Umoja wa Ulaya (EU), Jestas Nyamanga ameendelea kukazia kuhusu msimamo wa serikali kuwa ujenzi wa…
Back to top button