Biashara
WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.
Benki yatakiwa kurahisisha mikopo kwa wafugaji, wavuvi
September 1, 2022
Benki yatakiwa kurahisisha mikopo kwa wafugaji, wavuvi
NAIBU Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega ameitaka Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) irahisishe upatikanaji wa mikopo…
Bandari ya Karema kuanza kazi leo
September 1, 2022
Bandari ya Karema kuanza kazi leo
BANDARI ya Karema iliyopo Ziwa Tanganyika inaanza shughuli zake leo baada ya kukamilikwa kwa ujenzi wake uliosimamiwa na Mamlaka ya…
Serikali yaongeza kasi madaraja kukuza uchumi (Kimkakati)
September 1, 2022
Serikali yaongeza kasi madaraja kukuza uchumi (Kimkakati)
SERIKALI imejizatiti kuendeleza na kukamilisha ujenzi wa madaraja nchini yakiwemo ya kimkakati katika mwaka huu wa fedha 2022/23. Ujenzi wa…
Basi lisilotoa tiketi mtandao faini 250,000/-
September 1, 2022
Basi lisilotoa tiketi mtandao faini 250,000/-
MAMLAKA ya Udhibiti wa Usafiri Ardhini (LATRA) imesema kuanzia leo mabasi yote ya abiria ambayo hayatakuwa yamewapa abiria wake tiketi…
Serikali kutoa ufafanuzi tozo za miamala ya simu, benki
August 31, 2022
Serikali kutoa ufafanuzi tozo za miamala ya simu, benki
WIZARA ya Fedha imesema itatolea ufafanuzi kuhusu tozo ya miamala ya simu na benki hapo kesho Septemba Mosi ikiwa ni…
Bandari Bukoba wapewa wiki moja kubadilika
August 31, 2022
Bandari Bukoba wapewa wiki moja kubadilika
MKUU wa mkoa wa Kagera, Albert Chalamila ametoa muda wa wiki moja kwa maofisa wa vitengo vinavyosimamia bandari ya Bukoba…
Wapewa maelekezo matumizi Bandari ya Karema
August 31, 2022
Wapewa maelekezo matumizi Bandari ya Karema
MAANDALIZI ya kuanza kutumika kwa Bandari ya Karema, iliyopo wilayani Tanganyika, Mkoa Katavi yamekamilika kwa asilimia 100. Kutokana na hali…
Zanzibar na mkakati kurejesha hadhi ya karafuu duniani
August 30, 2022
Zanzibar na mkakati kurejesha hadhi ya karafuu duniani
ZANZIBAR kuitwa kisiwa cha marashi ya karafuu ni kutokana na uzalishaji wa wingi wa zao hilo. Hivi sasa Serikali ya…
‘Kula Maua’ inavyowanyonya wakulima wa ufuta Lindi
August 30, 2022
‘Kula Maua’ inavyowanyonya wakulima wa ufuta Lindi
MINADA ya ufuta tayari imeshafanyika na msimu wa zao hilo kufungwa rasmi. Takwimu kutoka kwa Ofisa Ushirika Mkoa wa Lindi,…
Dume moja majike matatu kwa mazao tarajiwa ya Samaki
August 30, 2022
Dume moja majike matatu kwa mazao tarajiwa ya Samaki
DUME moja la samaki linapaswa kuhudumia/kuzalisha majike matatu tu katika bwawa ili mfugaji apate mazao tarajiwa, kwa maana ya ubora.…