Biashara
WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.
Korosho tani 20,000 kupelekwa mnadani
October 28, 2022
Korosho tani 20,000 kupelekwa mnadani
TANI 20,000 za korosho ghafi zinatarajiwa kupelekwa kwenye mnada wa pili msimu wa mauzo 2022/2023, ambao unaanza leo sehemu mbalimbali…
Madereva sasa kuweka mafuta popote, kulipa baadaye
October 26, 2022
Madereva sasa kuweka mafuta popote, kulipa baadaye
MKUU wa Wilaya ya Kinondoni, Godwin Gondwe, amezindua ‘App’ mpya ya kuwawezesha madereva kupata huduma za mafuta kwa urahisi nchini…
Wawekezaji waitwa kurudisha Tanga ya viwanda
October 26, 2022
Wawekezaji waitwa kurudisha Tanga ya viwanda
HALMASHAURI ya Jiji la Tanga imetenga eneo la ardhi lenye ukubwa wa hekta 5635, kwa àjili ya uwekezaji sekta mbalimbali…
Serikali yaokoa bil 61/- kuunganisha mifuko ya jamii
October 26, 2022
Serikali yaokoa bil 61/- kuunganisha mifuko ya jamii
MFUKO wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) umesema serikali imeokoa zaidi ya Sh bilioni 61 za uendeshaji…
Waziri Mkuu atembelea eneo yanapojengwa mabehewa ya SGR
October 25, 2022
Waziri Mkuu atembelea eneo yanapojengwa mabehewa ya SGR
WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amesema ameridhishwa na maendeleo na kasi ya ujenzi wa mabehewa mapya kwa ajili Reli ya Kisasa…
‘Tunafuatilia bei ya korosho soko la dunia’
October 25, 2022
‘Tunafuatilia bei ya korosho soko la dunia’
BODI ya Korosho nchini (CBT), imesema inaendelea kufuatilia mwenendo wa bei ya korosho soko la dunia na kutoa taarifa, ili…
Serikali yapewa mbinu kuteka soko DRC
October 25, 2022
Serikali yapewa mbinu kuteka soko DRC
WACHAMBUZI wa masuala ya diplomasia na uchumi wameishauri serikali iweke mikakati ya kunufaika na soko la dhahabu katika Jamhuri ya…
TRA yawafunda wafanyabiashara Nyang’hwale
October 18, 2022
TRA yawafunda wafanyabiashara Nyang’hwale
MAMLAKA ya Mapato Nchini (TRA), mkoani Geita, imewaomba wafanyabiashara wilayani Nyang’hwale kusajili na kurasimisha biashara zao kwa kupata Namba ya…
Samia aandika historia Kigoma
October 18, 2022
Samia aandika historia Kigoma
RAIS Samia Suluhu Hassan ameweka historia mkoani Kigoma kwa kuzima majenereta yaliyokuwa yakitumia Sh bilioni 52 kufua umeme huku mapato…
Viwanda zaidi bidhaa za afya kujengwa
October 17, 2022
Viwanda zaidi bidhaa za afya kujengwa
Katika kuhakikisha upatikanaji wa dawa pamoja na vifaa tiba vinapatikana kwa wingi na kwa gharama nafuu, serikali imekamilisha ujenzi wa…