Biashara

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

INTRACOM FERTILIZER kuwekeza kiwanda cha saruji Uvinza

INTRACOM FERTILIZER kuwekeza kiwanda cha saruji Uvinza

MIKAKATI ya Serikali ya kuvutia wawekezaji imewezesha Kampuni ya ITRACOM FERTILIZERS ya Burundi kuwekeza kiwanda cha saruji mkoani Kigoma. Hayo…
‘Msisitizo diplomasia ya uchumi, upatikanaji masoko’

‘Msisitizo diplomasia ya uchumi, upatikanaji masoko’

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa, amewataka mabalozi wanaoiwakilisha Tanzania katika mataifa mbalimbali kuweka msisitizo katika utekelezaji wa diplomasia ya uchumi na…
Msako wanaonunua vifaa vya wizi Dar waja

Msako wanaonunua vifaa vya wizi Dar waja

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla, amesema kwa siku nne sasa tangu kuanza kwa operesheni ya kukabiliana…
Watumia Bandari ya Mtwara kusafirisha makaa ya mawe

Watumia Bandari ya Mtwara kusafirisha makaa ya mawe

KAMPUNI ya wazawa ya Jitegemee Holdings Company Ltd, inayojihusha na uchimbaji wa madini nchini, imeanza kutumia bandari ya Mtwara kusafirisha…
Serikali kufufua viwanda vilivyokufa

Serikali kufufua viwanda vilivyokufa

WAZIRI wa Uwekezaji , Viwanda na Biashara , Dk Ashatu Kijaji amesema serikali imedhamiria kuona viwanda vyote nchini vinafanya kazi…
Michezo ya kubahatisha yaendelea kunyooshewa vidole

Michezo ya kubahatisha yaendelea kunyooshewa vidole

MKUU mstaafu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk Alex Malasusa  ameungwa mkono kuhusu kauli yake ya kuhimiza…
Daraja jipya la Wami Ruvu kuanza kutumika Sept. 30

Daraja jipya la Wami Ruvu kuanza kutumika Sept. 30

DARAJA Jipya la Wami lenye urefu wa mita 513.5 na barabara unganishi ya kilometa 3. 8 litaanza  kutumika Septemba 30,…
Polisi yatangaza operesheni kamata mifugo

Polisi yatangaza operesheni kamata mifugo

JESHI la Polisi Kupitia kikosi cha kuzuia wizi wa mifugo na migogoro ya wafugaji na wakulima limesma kuanzia leo September…
Oryx wapania kufungua vituo zaidi mikoani

Oryx wapania kufungua vituo zaidi mikoani

KAMPUNI ya nishati ya Oryx Tanzania, imesema imedhamiria  kufungua vituo zaidi vya mafuta kwenye mikoa mbalimbali nchini. Mkurugenzi Mkuu wa…
ATCL yapunguza nauli wanaosoma China

ATCL yapunguza nauli wanaosoma China

SHIRIKA la Ndege Tanzania (ATCL), imepunguza gharama za safari zao za ndege kwa wanafunzi wanaosafiri kutoka Tanzania kwenda China kutoka…
Back to top button