Biashara

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Wafugaji wa samaki wahakikishiwa mikopo

Wafugaji wa samaki wahakikishiwa mikopo

NAIBU Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega amewahakikishia wanachama wa vikundi vya ufugaji samaki kwa njia ya vizimba mkoani…
Bidhaa za Tanzania kuingia Uingereza bila tozo

Bidhaa za Tanzania kuingia Uingereza bila tozo

TANZANIA ni moja kati ya nchi zinazoendelea itakayonufaika na Mpango wa Biashara wa nchi Zinazoendelea wa Uingereza (DCTC) unaotarajiwa kuanza…
Nape: Hairuhusiwi kupandisha gharama bila mamlaka kujua

Nape: Hairuhusiwi kupandisha gharama bila mamlaka kujua

WAZIRI wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye, amesema sheria za Mamlaka ya Mawasiliano nchini, haimruhusu mtoa huduma…
Wafanyabiashara wa ndizi Murongo waahidiwa neema

Wafanyabiashara wa ndizi Murongo waahidiwa neema

MKUU wa mkoa Kagera, Albert Chalamila, amewahakikishia wafanyabiashara wa ndizi katika soko la Murongo kuwa,  serikali inawaandalia mazingira mazuri ya…
RC Chalamila awasha moto wanaohujumu kahawa

RC Chalamila awasha moto wanaohujumu kahawa

MKUU wa Mkoa wa Kagera Alberth Chalamila  amesema atakula sahani moja na watumishi wanaoshirikiana na wafanyabiashara wasio waaminifu kwa kupokea…
Mabilioni ya China kusaidia kutokomeza umaskini

Mabilioni ya China kusaidia kutokomeza umaskini

WAZIRI wa Fedha na Mipango, Dk Mwigulu Nchemba, amesema serikali inatarajia kunufaika na mpango wa msaada wa miaka mitatu utakaogharimu…
Mapato ya uwekezaji yaing’arisha NSSF

Mapato ya uwekezaji yaing’arisha NSSF

MKURUGENZI Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), Masha Mshomba, amesema mfuko umepata matokeo makubwa na mazuri…
Bajeti ya utafiti yaongezwa maradufu

Bajeti ya utafiti yaongezwa maradufu

SERIKALI imeongeza fedha za utafi ti kutoka Sh bilioni tatu hadi kufi kia bilioni tisa kwa mwaka wa fedha wa…
Apple yatahadharisha watumiaji wa iPhones, Macs, Ipads

Apple yatahadharisha watumiaji wa iPhones, Macs, Ipads

KAMPUNI ya Apple imeonesha dosari ya kiusalama kwa bidhaa zake za  iPhone, iPad na Mac ambayo inaweza kuruhusu wavamizi kuchukua…
Wajipanga kuzalisha tani 30,000 za chai kavu

Wajipanga kuzalisha tani 30,000 za chai kavu

WAKALA wa Maendeleo ya Wakulima Wadogo wa Chai Tanzania (TSHTDA) imejipanga ifikapo mwaka 2030 kuzalisha tani 30,000 za chai kavu…
Back to top button