Biashara
WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.
Wadau wekezeni kwenye sekta za kilimo na viwanda
August 15, 2024
Wadau wekezeni kwenye sekta za kilimo na viwanda
DODOMA : Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Alexander Mkumbo(Mb.), alitoa wito huu katika mazungumzo…
Wakulima zaidi ya 400 kunufaika fursa SBL
August 9, 2024
Wakulima zaidi ya 400 kunufaika fursa SBL
Dodoma: Kampuni ya bia ya Serengeti Breweries Limited (SBL) imeitikia wito wa serikali wa kuboresha mazingira mazuri kwa wakulima wa…
TCB yajivunia mafanikio mradi wa SGR
August 8, 2024
TCB yajivunia mafanikio mradi wa SGR
DAR ES SALAAM: Benki ya Biashara Tanzania (TCB) imesema inajivunia kuwa sehemu ya mradi wa reli ya kisasa (SGR) uliozinduliwa hivi…
Mradi wa SGR: Tanzania imethubutu
August 1, 2024
Mradi wa SGR: Tanzania imethubutu
HISTORIA imeandikwa leo kupitia tukio la leo la Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kufanya uzinduzi wa Reli ya SGR. Tukio…
Bil 650/-kutumika upanuzi Kilombero
July 31, 2024
Bil 650/-kutumika upanuzi Kilombero
Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt. Selemani Jafo ameupongeza uongozi wa kiwanda cha sukari Kilombero mkoani Morogoro kwa uwekezaji mkubwa…
Meli ya mizigo kutoka China yatia nanga bandari ya Tanga
July 30, 2024
Meli ya mizigo kutoka China yatia nanga bandari ya Tanga
TANGA: MELI kubwa iliyobeba mizigo ya tani elfu 14 kutoka nchini China imetia nanga katika bandari ya Tanga Kwa mara…
Wafagilia ujio wa kinywaji kipya Dar
July 28, 2024
Wafagilia ujio wa kinywaji kipya Dar
DAR ES SALAAM; Brown-Forman Corporation na Kampuni ya Coca-Cola wameingiza mtaani kitu kipya ambacho ni kileo kilicho tayari kwa kunywewa…
Tanzania yahimiza nchi zipate mikopo nafuu
July 25, 2024
Tanzania yahimiza nchi zipate mikopo nafuu
ADDIS ABABA: TANZANIA imetoa mwito kwa taasisi za fedha za kimataifa zitoe mikopo yenye riba nafuu ili nchi zinazokopa zikuze…
Kaya maskini 300 zawezeshwa kiuchumi
July 24, 2024
Kaya maskini 300 zawezeshwa kiuchumi
DODOMA: MRADI wa Kuwajengea Uwezo Wenye Ulemavu wanaoishi katika Kaya Maskini (DIG) katika Wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma, umesaidia kuzijengea…