Biashara

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

NBC yaja na kadi mpya, Dk Biteko akoshwa ufanikishaji miradi

NBC yaja na kadi mpya, Dk Biteko akoshwa ufanikishaji miradi

Dodoma: Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Dotto Biteko amepongeza jitihada za Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) kuunga mkono…
Kodi 20% yashushwa kuvutia uwekezaji

Kodi 20% yashushwa kuvutia uwekezaji

KIGAMBONI, Dar es Salaam: RAIS Samia Suluhu Hassan amesema serikali imepunguza kodi ya makampuni kutoka asilimia 30 hadi 10 kwa…
Wakulima wa pamba macho yote Shinyanga!

Wakulima wa pamba macho yote Shinyanga!

KISHAPU, Shinyanga: MACHO na masikio ya wakulima wa pamba nchini leo yapo mkoani Shinyanga katika Wilaya ya Kishapu, ambapo kunafanyika…
Kampuni ya Ruby yaweka mkazo ajira kwa Watanzania

Kampuni ya Ruby yaweka mkazo ajira kwa Watanzania

MOROGORO; VIJANA zaidi ya 525 wa Kitanzania wamejipatia nafasi za kazi, ambao kati ya hao 125 ni ajira za kudumu…
Serikali yarudisha 100% ushuru korosho

Serikali yarudisha 100% ushuru korosho

DODOMA; SERIKALI imeamua kuanzia mwaka huu kurudisha ushuru wa mauzo ya nje asilimia 100 kwenye korosho ikisema fedha hizo ni…
‘Serikali isiongeze muda ujenzi soko Kariakoo’

‘Serikali isiongeze muda ujenzi soko Kariakoo’

DAR ES SALAAM; SERIKALI imetakiwa kutoongeza muda wa ujenzi wa Soko la Kariakoo kwa mkandarasi ili kuharakisha ujenzi wa soko…
Wafanyabiashara Katavi waomba elimu TRA

Wafanyabiashara Katavi waomba elimu TRA

KATAVI: Wafanyabiashara wa Wilaya ya Mlele Mkoa wa Katavi wameomba kupatiwa elimu endelevu kutoka kwa Mamkala ya Mapato Tanzania (TRA)…
Benki yazindua huduma maalum kwa wastaafu

Benki yazindua huduma maalum kwa wastaafu

Dar es Salaam: Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imezindua huduma maalum kwa ajili ya wastaafu inayofahamika kama “Akaunti ya…
Vijana watakiwa kuomba mikopo ya pikipiki

Vijana watakiwa kuomba mikopo ya pikipiki

DAR ES SALAAM. VIJANA wametakiwa kujitokeza kuomba mikopo ya vyombo vya usafiri, ili kujikwamua kiuchumi. Hayo yamesemwa na Mkurugenzi wa…
TCCIA yasuka mikakati mipya biashara mikoani

TCCIA yasuka mikakati mipya biashara mikoani

DAR ES SALAAM; Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Chemba ya Biashara, Viwanda na Kilimo Tanzania (TCCIA),Oscar Kisanga, amesema atasuka mikakati mipya…
Back to top button