Biashara

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Waliotelekeza vibanda vyao SIMU 2000 warejea

Waliotelekeza vibanda vyao SIMU 2000 warejea

DSM: WAFANYABIASHARA waliotelekeza vibanda vyao katika Soko la Simu 2000 mkoani Dar es Salaam, wameanza kurudi kutokana na maboresho yaliyofanyika.…
Sh bilioni 1 kuboresha soko Manzese

Sh bilioni 1 kuboresha soko Manzese

KIASI cha Sh bilioni 1.3 zimetengwa na Manispaa ya Ubungo mkoani Dar es Salaam, kwa ajili ya utekelezaji wa mradi…
Ujenzi Soko la Kariakoo tayari kumenoga

Ujenzi Soko la Kariakoo tayari kumenoga

DSM; UJENZI wa Soko la Kariakoo lililopo mkoani Dar es Salaam umefikia asiliamia 91, ambapo kiasi cha fedha kilichotumika ni…
Wafanyabiashara Kagera wafundwa ulipaji kodi

Wafanyabiashara Kagera wafundwa ulipaji kodi

MKUU wa Mkoa wa Kagera, Fatma Mwassa amewataka wafanyabiashara kuwajibika kulipa kodi kwa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) ili kufanya…
TADB yampa nguvu mwekezaji Karagwe

TADB yampa nguvu mwekezaji Karagwe

KAGERA; Karagwe. BENKI ya maendeleo ya Kilimo nchini (TADB), imetoa kiasi cha Sh bilioni 1.7 kwa ajili ya kununua ng’ombe…
Tunduma kukusanya Sh milioni 80 maegesho ya magari

Tunduma kukusanya Sh milioni 80 maegesho ya magari

SONGWE; HALMASHAURI ya Mji Tunduma inategemea kukusanya kiasi cha Sh Millioni 80 mwaka wa fedha 2023/24 kupitia chanzo cha mapato…
Washauri mwongozo mazingira mazuri ya biashara

Washauri mwongozo mazingira mazuri ya biashara

SERIKALI imeshauriwa kupeleka bungeni muongozo wa kuweka mazingira mazuri ya biashara nchini blueprint Ili kuwa ni wa kisheria na kuweza…
Korosho kusafirishwa Bandari ya Mtwara

Korosho kusafirishwa Bandari ya Mtwara

WAKUU wa mikoa ya Mtwara, Ruvuma na Lindi wamekubaliana kusafirisha korosho ghafi kwa kutumia Bandari ya Mtwara kwenye msimu wa…
Mtanzania anayemiliki kiwanda Thailand

Mtanzania anayemiliki kiwanda Thailand

BANGKOK, Thailand: WAKATI wa ziara ya Ujumbe wa Tanzania nchini Thailand, mbali na kutembelea shughuli za madini, ulipata wasaa wa…
Bashungwa ambana mkandarasi, atoa siku 14

Bashungwa ambana mkandarasi, atoa siku 14

MBEYA: Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ametoa siku 14 kwa Wakala wa Barabara (TANROADS), Bodi ya Usajili wa Makandarasi (CRB)…
Back to top button