Biashara

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Mmiliki kiwanda cha pombe awasilisha ombi kwa Waziri Kijaji

Mmiliki kiwanda cha pombe awasilisha ombi kwa Waziri Kijaji

MAFANYABIASHA maarufu katika mji wa Namanga wilayani Longido mkoani Arusha, Dalton Karago  anayemiliki Kiwanda cha kutengeneza Pombe kali cha Dalton’s…
EPZA yazungumzia ujenzi zaidi viwanda Bagamoyo

EPZA yazungumzia ujenzi zaidi viwanda Bagamoyo

PWANI: Kamati ya Ofisi ya Rais mipango na uwekezaji imepokea taarifa ya upembuzi yakinifu pamoja na mpango kabambe wa mradi…
Majaliwa ataka mifumo kugundua risiti feki

Majaliwa ataka mifumo kugundua risiti feki

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewaagiza wataalamu wa mifumo na TEHAMA, wabuni programu tumizi ya kuweza kutambua risiti halali na zisizo…
Halmashauri ya wilaya ya Moshi haishikiki ukusanyaji mapato

Halmashauri ya wilaya ya Moshi haishikiki ukusanyaji mapato

KILIMANJARO:Halmashauri ya wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro, imekusanya Sh bilioni 3.8 sawa na asilimia 109 ya makusanyo ya ndani ikilinganishwa…
Tanzania yanufaika na GPE

Tanzania yanufaika na GPE

TAASISI ya Ushirikiano wa Elimu Dunia ((GPE) imeipatia  Tanzania Dola za Marekani milioni 207.3 kwa ajili ya kuboresha sekta ya…
Wanawake Pwani wanavyonufaika na kilimo cha nazi

Wanawake Pwani wanavyonufaika na kilimo cha nazi

WAKINAMAMA mbalimbali kutoka Mkoa wa Pwani wamekuwa wakinufaika na kilimo cha nazi baada ya wawekezaji wengi kuwekeza katika bidhaa hiyo na kufanya kilimo hicho kupanda thamani. Akizungumza…
Afrika kwa Urusi, Urusi kwa Afrika

Afrika kwa Urusi, Urusi kwa Afrika

URUSI, Saint-Petersburg Kwa mujibu wa Yuri Korobov: hali ya kulegalega ya kiuchumi ya kimataifa inaweza kutumika kama msukumo mkubwa kwa…
TRA kutoa elimu matumizi EFD

TRA kutoa elimu matumizi EFD

MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA, Mkoa wa Kikodi wa Kariakoo imezindua kampeni maalum kwaajili ya kuhamasisha matumizi mazuri ya mashine…
Darts kutumia smart card

Darts kutumia smart card

KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI) imeutaka  uongozi wa Mabasi ya Mwendokasi (DART)…
Viongozi Bandari za Burundi ziarani kujifunza

Viongozi Bandari za Burundi ziarani kujifunza

KIGOMA:Ujumbe  wa viongozi wa serikali ya Burundi wanaosimamia uendeshaji wa bandari na usafirishaji majini umeanza ziara ya siku tatu mkoani…
Back to top button