Biashara

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Kapinga atinga bandarini

Kapinga atinga bandarini

DAR ES SALAAM :NAIBU Waziri wa Nishati Judith Kapinga amekagua maendeleo ya Ujenzi wa Miundombinu ya Kupimia Mafuta yanayoingia na…
Chato kuunganishwa mkongo wa taifa

Chato kuunganishwa mkongo wa taifa

SERIKALI kupitia Wizara ya Habari na Mawasiliano imetenga Sh bilioni 1.8 kwa ajili ya kuiunganisha wilaya ya Chato kwenye huduma…
Tanzania yaondolewa kwenye orodha ya madeni makubwa

Tanzania yaondolewa kwenye orodha ya madeni makubwa

TANZANIA imeanza vizuri mwaka 2024 baada ya kuondolewa kwenye orodha ya nchi zenye madeni makubwa Afrika. Taarifa ya Mfuko wa…
Ulega ang’oa uongozi mnadani Pugu

Ulega ang’oa uongozi mnadani Pugu

DAR ES SALAAM: WAZIRI wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega amemuagiza Naibu Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Profesa Daniel Mushi…
Kinana ataja mwarobaini tatizo la ajira

Kinana ataja mwarobaini tatizo la ajira

ARUSHA: MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Abdulrahman Kinana, amezihimiza taasisi za kijamii kuweka mkazo katika elimu…
Wateja CRDB wajizolea zawadi

Wateja CRDB wajizolea zawadi

Wateja zaidi ya 500 wa wa Benki ya CRDB wamefanikiwa kujishindia zawadi mbalimbali ikiwemo fedha ,magari, compyuta ,simu janja na…
Bashe aahidi neema kwa wakulima nchini

Bashe aahidi neema kwa wakulima nchini

DAR ES SALAAM: SERIKALI ya Tanzania imetoa wito kwa wawekezaji wa ndani katika sekta ya kilimo kutumia teknolojia za kisasa…
BOT kuwakwamua waathirika mikopo umiza, kausha damu

BOT kuwakwamua waathirika mikopo umiza, kausha damu

DAR ES SALAAM: BENKI Kuu  ya Tanzania (BOT) imezindua rasmi mtaala wa wakufunzi wa elimu ya fedha nje ya mfumo…
Chalamila: TRA toeni elimu kwa mlipa kodi

Chalamila: TRA toeni elimu kwa mlipa kodi

DAR ES SALAAM: MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila ameitaka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kufanya oparesheni…
Back to top button