Biashara

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Benki yazindua huduma maalum kwa wastaafu

Benki yazindua huduma maalum kwa wastaafu

Dar es Salaam: Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imezindua huduma maalum kwa ajili ya wastaafu inayofahamika kama “Akaunti ya…
Vijana watakiwa kuomba mikopo ya pikipiki

Vijana watakiwa kuomba mikopo ya pikipiki

DAR ES SALAAM. VIJANA wametakiwa kujitokeza kuomba mikopo ya vyombo vya usafiri, ili kujikwamua kiuchumi. Hayo yamesemwa na Mkurugenzi wa…
TCCIA yasuka mikakati mipya biashara mikoani

TCCIA yasuka mikakati mipya biashara mikoani

DAR ES SALAAM; Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Chemba ya Biashara, Viwanda na Kilimo Tanzania (TCCIA),Oscar Kisanga, amesema atasuka mikakati mipya…
‘Soko Tanzania lisiwe la bidhaa duni’

‘Soko Tanzania lisiwe la bidhaa duni’

DAR ES SALAAM; WAFANYABIASHARA nchini wametakiwa wasitumie soko la Tanzania kuingiza bidhaa zenye viwango duni, badala yake wasimamie ubora na…
Wafanyabiashara Katavi wafundwa suala la kodi

Wafanyabiashara Katavi wafundwa suala la kodi

KATAVI; Asilimia 55 ya wafanyabiashara 12,000 waliosajiliwa mkoani Katavi wamebainika kushindwa kutoa risiti za kielektroniki  wafanyapo mauzo, hali inayoelezwa IMEsababishwa…
Bajaji za umeme nchini kushuka bei

Bajaji za umeme nchini kushuka bei

DAR ES SALAAM: KITUO cha Uwekezaji nchini (TIC) kimesaini mikataba miwili ya makubaliano ya uwekezaji baina ya Kampuni ya Mass…
Serikali yakusanya mabilioni TAEC

Serikali yakusanya mabilioni TAEC

DAR ES SALAAM: MAKUSANYO ya maduhuli ya Tume ya Nguvu za Atomiki Tanzania (TAEC) yameongezeka kutoka Sh bilioni 8.7 mwaka…
Jokate azindua kiwanda cha nafaka Mtwara

Jokate azindua kiwanda cha nafaka Mtwara

MTWARA: KATIBU Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM), Jokate Mwegelo (MNEC) amezindua kiwanda cha…
Mambo yazidi kunoga Bandari Mtwara

Mambo yazidi kunoga Bandari Mtwara

MTWARA; MAMALAKA ya Usimamizi Bandari (TPA) mkoani Mtwara imepokea kifaa maalum kwa ajili ya kusaidia meli kuegesha na kuondoka kwenye…
NBC yatwaa tuzo mwezeshaji bora mikopo Serikali Kuu

NBC yatwaa tuzo mwezeshaji bora mikopo Serikali Kuu

ZANZIBAR: BENKI ya NBC imepata tuzo ya Mwezeshaji Bora wa Pamoja wa Mikopo ya Serikali Kuu nchini katika Afrika kwa mwaka…
Back to top button