Madini

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Taasisi za fedha zawageukia wachimba madini

KATIKA kukabiliana na changamoto ya ukosefu wa mitaji kwa wachimbaji wadogo wa madini taasisi za fedha zimeshauri kuundwa kikosi kazi…

Soma Zaidi »

Wadau kujadili changamoto wachimbaji wadogo madini

ZAIDI ya wadau 700 wa madini, viwanda na taasisi za kifedha kesho wanatarajiwa kushiriki mkutano wa kwanza jijini Dar es…

Soma Zaidi »

Stamico yasaini mkataba mnono na GGML

KAMPUNI ya Madini ya Taifa (STAMICO), imesaini mkataba wa miaka miwili wenye thamani ya Sh bilioni 55. 2 na Kampuni…

Soma Zaidi »

Wachimbaji madini watakiwa waache kulalamika

WAZIRI wa Madini Dk Dotto Biteko, amewataka wachimbaji wadogo na wafanyabiashara wa madini nchini kuacha kulalamika badala yake wawajibike kuzingatia…

Soma Zaidi »

Mgogoro wamalizwa kampuni uchimbaji madini

KAMATI maalumu ya wataalamu wa ramani mgodini kutoka Chuo Cha Madini Dodoma imemamliza mgogoro kati ya Kampuni ya Franone na…

Soma Zaidi »

Hatma ya Saitoti kujulikana kesho

HATMA ya Madini ya Tanzanite kilo 4 yenye thamani ya mamilioni ya pesa yanayodaiwa kuchimbwa katika mgodi wa Kitalu C…

Soma Zaidi »

Serikali yasitisha uchimbaji tanzanite Kitalu B

WIZARA ya Madini imesitisha shughuli za uchimbaji madini ya tanzanite katika mgodi wa Gem & Rock Venture uliopo kitalu B…

Soma Zaidi »

Tani 2 madini ya uranium asilia zapotea Libya

JUHUDI zinaendelea kutafuta zaidi ya tani 2 za madini ya uranium asilia yaliyoripotiwa kupotea kwenye hazina ya madini hayo huko…

Soma Zaidi »

Dk Kiruswa azindua mfumo ushirikishwaji jamii

NAIBU Waziri wa Madini, Dk Steven Kiruswa amezindua  mfumo wa ushirikishwaji wa Watanzania katika sekta ya madini na wa utoaji…

Soma Zaidi »

Helium One kuanza kuchimba visima zaidi 2023

KAMPUNI ya Helium One Global Tanzania imepanga kuanza kuchimba visima zaidi nchini Tanzania katika robo ya kwanza ya mwaka ujao…

Soma Zaidi »
Back to top button