Madini

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Jukwaa sekta ya madini kufanyika Arusha Mei 22

ARUSHA: Jukwaa la Tatu la Utekelezaji wa Ushirikishwaji wa Watanzania katika sekta ya madini litafanyika Mei 22 hadi 24, 2024…

Soma Zaidi »

‘Mikakati sita kuinua wachimbaji wadogo’

  DODOMA: SERIKALI imebainisha mikakati sita ya kusaidia kutatua changamoto zinazowakabili wachimbaji wadogo nchini. Akitangaza mikakati hiyo, Waziri wa Madini,…

Soma Zaidi »

Mavunde kuifanya Dodoma ya kimichezo

DODOMA: MBUNGE wa Jimbo la Dodoma Mjini, Anthony Mavunde ameanza ujenzi wa viwanja vya michezo ya mpira wa kikapu (basketball),…

Soma Zaidi »

Miaka mitatu ya Samia heshima Sekta ya Madini

DAR ES SALAAM: Sekta ya Madini imetajwa kukua kwa kasi ndani ya miaka mitatu ya Rais Samia huku ikichangia asilimia…

Soma Zaidi »

Serikali kupiga jeki wachimbaji wadogo

MTWARA: Waziri wa Madini Anthony Mavunde amesema serikali ya awamu ya sita chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan…

Soma Zaidi »

“Mchakato wa hisa kampuni ya madini uharakishwe”

KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imeitaka Wizara ya Madini kuharakisha mchakato wa kumiliki hisa ya asilimia…

Soma Zaidi »

Stamico, Singida Gold mambo safi

DODOMA: Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) limesaini mkataba wa miezi sita wenye thamani ya Dola za Marekani Milioni 1.08…

Soma Zaidi »

Mavunde atoa maelekezo 5 kwa Stamico

DODOMA: WAZIRI wa Madini Anthony Mavunde ametoa maagizo matano kwa Shirika la Madini Tanzania (STAMICO) ili kuendana na kasi na…

Soma Zaidi »

“Lengo la Serikali ni kuongeza ushiriki wa Watanzania sekta ya madini”

MWANZA: WAZIRI wa Madini, Anthony Mavunde amezitaka Taasisi za fedha kwa kushirikiana na Taasisi ya Sekta Binafsi(TPSF) na Shirikisho la…

Soma Zaidi »

Watanzania kupewa kipaumbele sekta ya madini

MWANZA: SERIKALI kupitia Tume ya Madini itaendelea kusimamia manunuzi ya bidhaa na huduma kwa kuhakikisha kipaumbele kinatolewa kwa watanzania kwa…

Soma Zaidi »
Back to top button