Madini

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Serikali imeweka nguvu uchumi wa madini

SERIKALI imedhamiria kusimamia sheria ili kuhakikisha Watanzania wengi zaidi wanashiriki kwenye uchumi wa madini kupitia usambazaji wa bidhaa na kutoa…

Soma Zaidi »

Mavunde aguswa na kilio cha wachimbaji wadogo

MANYARA: SERIKALI kupitia Wizara ya Madini imesema inatambua changamoto mbalimbali zinazowakabili wachimbaji wadogo wa madini ya Tanzanite wilayani Simanjiro mkoani…

Soma Zaidi »

Serikali: Iuzieni dhahabu BoT

GEITA: NAIBU Waziri wa Madini, Dk Stephen Kiruswa ameitaka kampuni ya mgodi wa Bucreef Gold Company (BGC) kuangalia uwezekano wa…

Soma Zaidi »

Mbunge awavuta wafanyabishara sekta ya madini

MBUNGE wa Jimbo la Ulanga mkoani Morogoro, Salimu Hasham amewavuta wafanyabiashara  kuwekeza katika sekta ya madini ya Spinel yanayochimbwa katika…

Soma Zaidi »

“Jamii zinufaike uwekezaji madini”

DAR ES SALAAM: KAMPUNI za madini nchini zimetakiwa kuboresha huduma za jamii kwenye vijiji vinavyozunguka migodi ikiwa ni pamoja na…

Soma Zaidi »

‘Fursa kibao sekta ya madini’

DODOMA: SEKTA ya madini itachangia pato la taifa kwa asilimia 10 ifikapo mwaka 2025. Hatua hiyo inataokana na mikakati mbalimbali…

Soma Zaidi »

Wadhibiti Madini yaliyokuwa yakitoroshwa

MBEYA: MADINI yenye thamani ya Sh milioni 961 yenye uzito wa kilogramu 6.93 yamekamatwa Wilaya ya Chunya , mkoani Mbeya…

Soma Zaidi »

Yaliyojiri siku ya kwanza Mkutano wa Kimataifa Sekta ya Madini

DAR ES SALAAM: SERIKALI imewahakikishia wawekezaji wakubwa , wa kati na wadogo katika shughuli za madini nchini kuwa itaendelea kuweka…

Soma Zaidi »

Serikali kuwekeza katika teknolojia sekta madini

DAR ES SALAAM: SERIKALI kuwekeza katika teknolojia ya hali ya juu ya tafiti ili kusaidia kupata taarifa za kijiolojia zitakazowezesha…

Soma Zaidi »

Wizara ya Madini waja kisasa zaidi

DAR ES SALAAM: WAZIRI wa Madini, Anthony Mavunde amesema wizara hiyo imejipanga kutumia njia za kisasa za kupata taarifa za…

Soma Zaidi »
Back to top button