Madini

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Wabunge: Serikali iagize magari yanayotumia gesi

DAR ES SALAAM: KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imeishauri serikali kuagiza magari yenye mfumo wa gesi…

Soma Zaidi »

Sh Trilioni 1 kibindoni sekta ya madini

DAR ES SALAAM: Katika kipindi cha miaka mitatu ya uongozi  wa Rais Samia Suluhu Hassan, Wizara ya Madini imekusanya  Sh…

Soma Zaidi »

Kenya, Uganda watatua mvutano wa petroli

KISOZI, Uganda: NCHI za Kenya na Uganda zimeafikiana kutatua mgogoro wa uingizaji wa petroli katika nchi hizo kwa namna ambayo…

Soma Zaidi »

Stamico yafungua milango ya uchorongaji Geita

SHIRIKA la Madini la Taifa (STAMICO) limekabidhi mtambo wa uchorongaji kwa Shirikisho la Wachimbaji Wadogo mkoani Geita (Gerema) ambao umeanza…

Soma Zaidi »

“Serikali iboreshe mfumo wa SCADA”

DAR ES SALAAM: KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imeishauri Serikali kupitia kwa Wakala wa Uagizaji wa…

Soma Zaidi »

Serikali kupiga jeki wachimbaji wadogo

MTWARA: Waziri wa Madini Anthony Mavunde amesema serikali ya awamu ya sita chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan…

Soma Zaidi »

“Mchakato wa hisa kampuni ya madini uharakishwe”

KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imeitaka Wizara ya Madini kuharakisha mchakato wa kumiliki hisa ya asilimia…

Soma Zaidi »

Stamico, Singida Gold mambo safi

DODOMA: Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) limesaini mkataba wa miezi sita wenye thamani ya Dola za Marekani Milioni 1.08…

Soma Zaidi »

Mavunde atoa maelekezo 5 kwa Stamico

DODOMA: WAZIRI wa Madini Anthony Mavunde ametoa maagizo matano kwa Shirika la Madini Tanzania (STAMICO) ili kuendana na kasi na…

Soma Zaidi »

Serikali yazungumzia bei ya mafuta

SERIKALI imesema ipo katika maandalizi ya kupanga bei linganishi ya mafuta ya dizeli, petroli na taa nchini ili kuondoa tofauti…

Soma Zaidi »
Back to top button