Michezo na Burudani

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Ivory Coast, Tanzania zapanda viwango Fifa

Mabingwa wa soka Afrika, Ivory Coast wamepanda nafasi 10 kwenye viwango vipya vya Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu…

Soma Zaidi »

Uzinduzi Binti Afrika Machi 9

DAR ES SALAAM; Rais mstaafu wa Awamu ya Nne Jakaya Kikwete, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa shindano la…

Soma Zaidi »

Serie A kubaki na timu 20

LIGI Kuu nchini Italia ‘Serie A’ itasalia na timu 20 baada ya vilabu 16 vya sasa kupiga kura ya kupinga…

Soma Zaidi »

Miujiza ya Ivory Coast hadi ubingwa Afcon

Baada ya hatua ya makundi mwenyeji alikuwa na hatihati ya kuendelea kuwepo kwenye mashindano katika ardhi ya nyumbani ilihitaji dua…

Soma Zaidi »

Mayele kuanika yanayomsibu

BAADA ya kuibuka sintofahamu kuhusu aliyekuwa mshambuliaji wa Yanga, Fiston Mayele kutokana na ujumbe wake kwenye mtandao wa Instagram, nyota…

Soma Zaidi »

Yanga wajichimbia kileleni

SOKOINE, Mbeya: MABAO 2-1 ya Yanga SC dhidi ya wenyeji Tanzania Prisons SC yamewafanya wababe hao wa mitaa ya Twiga…

Soma Zaidi »

Kazi: Tupo imara kuivaa Geita

BEKI wa klabu ya Simba, Hussen Kazi amesema kuwa kuelekea mchezo wa kesho dhidi ya Geita Gold Fc wamejiandaa vizuri…

Soma Zaidi »

‘Yanga Stadium’ inakuja tulia uone

MDHAMINI na mfadhili wa klabu ya Yanga, Gharib Said Mohammed (GSM) ameridhia kujenga uwanja katika eneo la makao makuu ya…

Soma Zaidi »

Onesho mtoto wa mutukudzi kivutio Zanzibar

MTOTO wa gwiji wa muziki wa Afrika, Hayati Oliver Mutukudzi, Selmor Mutukudzi imekuwa livutio katika Tamasha la Sauti za Busara…

Soma Zaidi »

Yanga yatoa pole kifo cha Madega

UONGOZI wa Yanga umetoa pole kwa familia, ndugu, jamaa na marafiki wa aliyekuwa mwenyekiti wa klabu hiyo, Iman Madega aliyefariki…

Soma Zaidi »
Back to top button