Michezo na Burudani

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Rais Samia: Mmeitangaza vyema Tanzania

RAIS Samia Suluhu Hassan amesema nidhamu, juhudi na kujituma ndiyo nguzo ya mafaniko ya Fadhili na Ibrahim (The Ramadhani Brothers)…

Soma Zaidi »

Hodson abwaga manyanga, Glasner aichukua Palace

KLABU ya Crystal Palace imetanga kocha wake Roy Hodson ameachia ngazi. “Klabu hii ni maalum sana na ina maana kubwa…

Soma Zaidi »

Yanga tatu nyingine, Mudathir wa moto

MOROGORO: Yanga imeendelea kujichimbia kileleni mwa Ligi kuu Tanzania bara baada ya kuitandika KMC 3-0 kwenye mchezo uliomalizika muda mchache…

Soma Zaidi »

Chalamila amchana mkandarasi Uwanja wa KMC

DAR ES SALAAM: MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema hajaridhishwa na kasi ya mkandarasi anayejenga uwanja…

Soma Zaidi »

PSG yahamia kwa Gavi

Wababe wa soka la Ufaransa Paris Saint-Germain (PSG) wanafikiria kuwasilisha ombi la uhamisho wa kiungo wa FC Barcelona Pablo Martín…

Soma Zaidi »

Wasanii waalikwa tamasha la muziki Morocco

TAMASHA la Kimataifa la Muziki wa Afrika ‘Visa For Music’ toleo la 11 linalotarajiwa kufanyika Novemba 20 hadi 23, 2024,…

Soma Zaidi »

Mchezo wa Simba dhidi ya Mtibwa waahirishwa

BODI ya Ligi Kuu (TPLB) imeahirisha mchezo wa Simba SC dhidi ya Mtibwa Sugar uliopangwa kuchezwa Jumapili Februari 18, 2024…

Soma Zaidi »

Simba bado nne kwa Yanga

IKIWA na idadi sawa ya michezo (15) Simba SC sasa imeachwa pointi nne dhidi ya vinara wa Ligi Kuu Yanga…

Soma Zaidi »

Mzize, Kibwana wapigwa faini Sh milioni 1

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu (TFF) limemtoza faini ya Sh milioni 1 mshambuliaji wa Yanga, Clement Mzize kwa kosa la…

Soma Zaidi »

Yanga yapigwa faini Sh milioni 2

KLABU ya Yanga imepigwa faini ya Sh milioni 2 katika makosa mawili tofauti yanayouhusu michezo miwili ya Ligi Kuu. Kosa…

Soma Zaidi »
Back to top button