Michezo na Burudani

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Viwanja vya Mkapa, Uhuru kufungwa hadi Oktoba 24

WIZARA ya Utamaduni, Sanaa na Michezo imesema imepokea taarifa kutoka Shirikisho la Mpira wa Miguu (TFF) za kuufungia uwanja wa…

Soma Zaidi »

Stiko: Ntarudi kwenye muziki nikipata pesa

MMOJA wa wasanii wanaouna kundi la Wanaume Family, Salum Khalid maarufu Stiko ameamua kuweka muziki pembeni kwa muda na kujikita…

Soma Zaidi »

D Voice: Bado najitafuta nifike anga za kimataita

MSANII wa muziki wa singeli kutoka kundi la WCB Wasafi, Dvoice Ginni maarufu D Voice amesema bado anajitafuta ili afikie…

Soma Zaidi »

Chama, Kapama yamewakuta Simba

DAR ES SALAAM: Uongozi wa Klabu ya Simba umetangaza kuwasimamisha wachezaji Nassor Kapama na Clatous Chama kutokana na utovu wa…

Soma Zaidi »

FIFA, Uefa zilikosea kuzuia Super League

MAHAKAMA barani Ulaya imeamua kwamba UEFA na FIFA zilikuwa kinyume na sheria kwa kuzuia uundaji wa mashindano ya Super League…

Soma Zaidi »

Leo tena kinapigwa Ligi kuu Tanzania bara

MZUNGUKO wa 14 wa Ligi kuu Tanzania bara utaendelea leo ambapo wajelajela Tanzania Prisons watakuwa Uwanja wa Sokoine Mbeya wakiminyana…

Soma Zaidi »

Yanga yakamata nafasi ya pili kundi D CAF

USHINDI wa mabao 3-0 dhidi ya Medeama, umeisogeza Yanga nafasi ya pili katika msimamo wa kundi D Ligi ya Mabingwa…

Soma Zaidi »

Kivurande: Chuki inawaponza wasanii

MSANII wa muziki wa mduara, Hemed Kivurande amesema wasanii wengi hawafikii mafanikio makubwa katika muziki wao kwa sababu ya chuki…

Soma Zaidi »

Pacome aitanguliza Yanga

KIUNGO Pacome Zouzoua ameipelekea Yanga mapumziko ikiwa mbele kwa bao 1-0. Bao hilo limefufua matumaini ya Yanga kufuzu robo fainali.…

Soma Zaidi »

Msuva, Kabylie waachana

KLABU ya JS Kabylie ya Algeria imetangaza kuvunja mkataba na mshambuliaji wa Tanzania, Simon Msuva kwa makubaliano ya pande zote…

Soma Zaidi »
Back to top button