Michezo na Burudani

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Wizara yafafanua maji Uwanja Mkapa

DAR ES SALAAM; Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo imetoa ufafanuzi juu ya video inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii ikionesha…

Soma Zaidi »

Simba wawasili Tanzania

KIKOSI cha Simba SC kimewasili nchini kikitokea Misri ambako kilienda kwa ajili ya mchezo wa raundi ya pili wa African…

Soma Zaidi »

Hatma ya Mnyama leo

HATMA ya Simba SC itajulikana leo ambapo timu hiyo itacheza na Al-Ahly mchezo wa marudiano wa African Football League nchini…

Soma Zaidi »

Wamesema!

DAR ES SALAAM: Dar Derby imemalizika kibabe Yanga wameendeleza ubabe dhidi ya Azam Fc. Yanga wameibuka na ushindi wa mabao…

Soma Zaidi »

Kinda Barca afunga akiwa na miaka 17

KINDA wa FC Barcelona, Marc Guiu ameweka rekodi ya kuwa mchezaji mwenye umri mdogo zaidi kufunga bao kwenye mchezo wake…

Soma Zaidi »

Wajivunia Tamasha la Serengeti Lite

DAR ES SALAAM: ZAIDI ya wajasiriamali 500 wamenufaika na  fursa za kibiashara kwa kuuza bidhaa mbalimbali pamoja na kutengeneza mtandao…

Soma Zaidi »

Gamondi aita mashabiki kuiua Azam

DAR ES SALAAM: KOCHA Mkuu wa YANGA SC, Miguel Gamondi amesema kikosi chake kipo imara kuvaana na matajiri wa Chamazi,…

Soma Zaidi »

Infantino awasili Burundi

Rais wa FIFA, Gianni Infantino amewasili Bujumbura, Burundi kwa ya ziara yake ya kikazi. Infantino ameongozana na Mosengo Véron ambaye…

Soma Zaidi »

TP, Espérance hakuna kiingilio

KUELEKEA mchezo wa kesho TP Mazembe wakicheza mchezo wake wa kwanza wa African Football League (AFL) katika dimba la Benjamin…

Soma Zaidi »

Chelsea kulipa kisasi kwa Arsenal?

UINGEREZA: Wametafutana wee! hatimae wamekutana, wababe wa Epl kutoka Jiji la London Chelsea na Arsenal watavaana leo katika mchezo wa…

Soma Zaidi »
Back to top button