Michezo na Burudani

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Rooney kocha mpya Birmingham

ALIYEKUWA mchezaji wa Manchester United, Wayne Rooney ameteuliwa na klabu ya Birmingham City kuwa kocha mkuu na kusaini mkataba wa…

Soma Zaidi »

Kajula: AFL imeleta fursa Tanzania

DSM: OFISA Mtendaji Mkuu wa klabu ya Simba, Imani Kajula  amesema uwepo wa michuano ya African football League (AFL) una…

Soma Zaidi »

Infantino kushuhudia Simba, Al Ahly

DSM: RAIS wa Shirikisho la Soka Ulimwenguni (FIFA), Gianni Infantino atakuwa uwanja wa Benjamini Mkapa kushuhudia mchezo wa mashindano ya…

Soma Zaidi »

Mwakinyo afungiwa mwaka mmoja

KAMISHENI ya ngumi za kulipwa nchini (TPBRC) imemfungia bondia Hassan Mwakinyo mwaka mmoja. Mwakinyo amefungiwa kupanda ulingoni ndani na nje…

Soma Zaidi »

Saka aondolewa England

MSHAMBULIAJI wa Arsenal, Bukayo Saka ameondolewa kwenye kikosi cha England kinachojiandaa kufuzu mashindano ya Euro dhidi ya Australia na Italia…

Soma Zaidi »

Hazard astaafu soka

MSHAMBULIAJI wa Real Madrid, Eden Hazard ametanga kustaafu soka la kulipwa. – Taarifa ya Hazard imeeleza “baada ya miaka 16…

Soma Zaidi »

Jkt Queens yatupwa kundi A Ligi ya Mabingwa Afrika

IVORY COAST: Mabingwa wa soka la Wanawake nchini Jkt Queens wamepangwa kundi A katika michuano ya Ligi ya Mabingwa kwa…

Soma Zaidi »

Zimebaki asilimia 5 uwanja wa Mkapa ukamilike

SERIKALI imesema zimebaki asilimia 5 kumaliza kwa ukarabati uwanja wa Mkapa. – Vyumba vinne vya wachezaji, sehemu ya kuchezea, vyumba…

Soma Zaidi »

Kiwanja cha michezo kujengwa Mwenge

MANISPAA ya Kinondoni Dar es Salaam imesema iko katika hatua za mwisho kukamilisha ujenzi wa kiwanja cha michezo eneo la…

Soma Zaidi »

Yanga, NIC waingia mkataba mchezaji bora wa klabu

YANGA SC wameingia mkataba wa miaka mitatu na Shirika la Bima la Taifa (NIC) wenye thamani ya Sh milioni 900…

Soma Zaidi »
Back to top button