Michezo na Burudani

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Infantino huyu hapa Tanzania

RAIS wa FIFA Gianni Infantino amewasili nchini leo asubuhi kwa ajili ya ufunguzi wa mchezo wa African Football League kati…

Soma Zaidi »

Yanga yalimwa faini Sh milioni 2

Klabu ya Yanga imetozwa faini ya Sh milioni 2 na Bodi ya Ligi Kuu kwa makosa mawili. Katika mchezo dhidi…

Soma Zaidi »

Tuzo za MTV EMA 2023 zasitishwa

SHEREHE za ugawaji wa tuzo za muziki MTV EMA zilizopangwa kufanyika Paris, Ufaransa Novemba 5 mwaka huu zimesitishwa. – Kwa…

Soma Zaidi »

Kamwe apigwa faini Sh milioni 1

OFISA Habari na Mawasiliano wa Yanga SC, Ali Kamwe amepigwa faini ya Sh milioni 1 na Bodi ya Ligi kwa…

Soma Zaidi »

Palestina yaomba kuanzisha kituo cha michezo Dar

DAR ES SALAAM: WAZIRI wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk Damas Ndumbaro amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Palestina…

Soma Zaidi »

Yanga, Azam sasa kwa Mkapa

MCHEZO wa Yanga SC dhidi ya Azam FC ambao utachezwa Jumatatu Oktoba 23, 2023 sasa rasmi utapigwa uwanja wa Mkapa,…

Soma Zaidi »

Simba kamili kuivaa Al-Ahly

DAR ES SALAAM: KOCHA wa Simba SC, Roberto Oliveira ‘Robertinho’ amesema amekiandaa vizuri kikosi chake kwa mchezo wa kesho, hivyo…

Soma Zaidi »

Yanga, Azam kupigwa Jumatatu

KLABU ya Yanga imethibitisha kuwa mchezo wao wa Ligi Kuu dhidi ya Azam uliopangwa kuchezwa Jumapili umeahirishwa hadi Jumatatu ya…

Soma Zaidi »

Kiungo TS Galaxy avunjwa mguu

KIUNGO wa TS Galaxy ya Afrika Kusini, Bernad Parker amevunjwa mguu na kiungo wa Mamelod Sundowns, Bogani Zungu katika mchezo…

Soma Zaidi »

Neymar kufanyiwa upasuaji

MSHAMBULIAJI wa Brazil, Neymar Santos amedokeza jeraha alilopata juzi dhidi ya Uruguay kuwa linahitaji upasuaji. Neymar alitolewa katika mchezo huo…

Soma Zaidi »
Back to top button