Michezo na Burudani

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Simba wakitaka lao hawazuiliki!

SINGIDA: SIMBA imeendeleza rekodi ya ushindi katika Ligi Kuu Tanzania Bara msimu huu baada ya leo kuifunga Singida Fountain Gate…

Soma Zaidi »

Ben Pol kutangaza Albamu Mikoa 15

DAR ES SALAAM: Msanii wa Bongo fleva nchini Bernard Paul, ‘Ben Pol’  amesema atafanya tour yake kuzunguka Mikoa 15 kutangaza…

Soma Zaidi »

Gamondi: Waacheni waje makundi!

DSM: DROO ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika tayari imeshajulikana kuanzia saa 10 alasiri leo na sasa timu zinaanza kusomana,…

Soma Zaidi »

Simba kuanzia Dar na Asec

AFRIKA KUSINI; Johannesburg. SIMBA itaanza kurusha karata zake hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika ikiwa nyumbani kwa kumenyana na…

Soma Zaidi »

Yanga kuanzia ugenini Algeria

DSM; YANGA itaanza kurusha karata zake katika michuano ya Ligi ya Mabingwa hatua ya makundi ikiwa ugenini ikimenya na CR…

Soma Zaidi »

Robertinho: Makundi CAF kitawaka!

DSM: HIVI sasa mtaani pamoja na makundi mbalimbali ya mitandao ya kijamii mjadala ni kuhusu droo ya Ligi ya Mabingwa…

Soma Zaidi »

Kongamano la kimataifa la muziki kufanyika Dar

DAR ES SALAAM: KONGAMANO la kimataifa la muziki la ACCES limepangwa kufanyika Novemba 9 hadi 11 jijini Dar es Salaam.…

Soma Zaidi »

Simba yapewa Wydad, Yanga yakabidhiwa Ahly

AFRIKA KUSINI; Johannesburg. DROO  ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika imepangwa muda huu nchini Afrika Kusini ambapo Simba imepangwa…

Soma Zaidi »

Simba, Yanga kupangwa kundi moja?

AFRIKA KUSINI: Wawakilishi  wa Tanzania katika Michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika, Simba na Yanga watawafahamu wapinzani wao katika hatua…

Soma Zaidi »

Tamasha la ZIFF lapata Mkurugenzi mpya

MUONGOZAJI wa filamu nchini Amil Shivji ameushukuru uongozi wa tamasha la Kimataifa la Filamu la Nchu za Jahazi Zanzibar (ZIFF)…

Soma Zaidi »
Back to top button