Michezo na Burudani

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Simba, Yanga kupangwa kundi moja?

AFRIKA KUSINI: Wawakilishi  wa Tanzania katika Michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika, Simba na Yanga watawafahamu wapinzani wao katika hatua…

Soma Zaidi »

Tamasha la ZIFF lapata Mkurugenzi mpya

MUONGOZAJI wa filamu nchini Amil Shivji ameushukuru uongozi wa tamasha la Kimataifa la Filamu la Nchu za Jahazi Zanzibar (ZIFF)…

Soma Zaidi »

CDEA kuendesha mafunzo kwa wanamuziki

SHIRIKA la Utamaduni la Maendeleo Afrika Mashariki (CDEA) linaendesha mradi wa mafunzo maalum kwa wanamuziki vijana wanaochipukia wa Mkoa wa…

Soma Zaidi »

Ngumi za kisultani kupigwa safari ya beach

DAR ES SALAAM: Bondia Sultani Kiyoko ametamba kumtwanga  Fransic Nampumula wa Mbagala kwenye pambano la safari ya Beach linarotarajiwa kupigwa…

Soma Zaidi »

Chato festival kufanyika Novemba 26 Chato

TAMASHA la Utalii la Chato Festival limepangwa kufanyika Novemba 26 hadi Desemba 3, mkoani Chato. Akizungumza leo Oktoba 4, 2023…

Soma Zaidi »

Majaliwa: Serikali inataka makubwa zaidi kwenye michezo

DAR ES SALAAM: WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali imeongeza bajeti kwenye sekta ya michezo ili kuipaisha zaidi sekta hiyo…

Soma Zaidi »

Walete…waleteee kwa Mkapa!

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa leo Oktoba 4,2023, amekagua ukarabati unaoendelea katika Uwanja wa Benjamini Mkapa, ikiwa zimesalia siku chache tu…

Soma Zaidi »

Minziro: Tupo tayari kumkabili Simba

MBEYA: Kocha wa Tanzania Prisons Fred Felix Minziro amewataka mashabiki wa timu hiyo kujitokeza kwa wingi Oktoba 5, 2023 katika…

Soma Zaidi »

Matumla ampa kiburi Njopeka, atamba kumchapa Kitogo

DAR ES SALAAM: Bondia Jumanne Njopeka wa Kawe Ukwamani ameweka kambi kwa mkongwe Rashid Matumla ili kumlambisha sakafu Bakari Kitogo…

Soma Zaidi »

Feisal asimulia alivyosalitiwa na mpenzi wake

KIUNGO wa Azam FC, Feisal Salum ameeleza kuwa alikimbiwa na mpenzi wake aliyetaka kumuoa wakati wa sakata lake na klabu…

Soma Zaidi »
Back to top button