Michezo na Burudani

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Rais Samia atoa Sh milioni 10 kwa Twiga Stars

DAR ES SALAAM: RAIS,Samia Suluhu Hassan ameizawadia timu ya Taifa ya Wanawake Twiga Stars kitita cha Sh milioni 10 baada…

Soma Zaidi »

Twiga Stars yatakata na kusonga mbele

DAR ES SALAAM: TIMU ya Taifa ya wanawake Twiga Stars imesonga mbele katika kampeni ya kuisaka tiketi ya kucheza michuano…

Soma Zaidi »

Mapokezi ya Magdalena yanoga Arusha

ARUSHA; Mwanariadha wa Tanzania Magdalena Shauri, aliyeibuka nafasi ya tatu kwenye mashindano ya riadha ya Berlin yaliyofanyika Berlin, Ujerumani mwishoni…

Soma Zaidi »

Mtanzania ang’ara mashindano ya Gofu Kimataifa

ARUSHA: MCHEZAJI chipukizi wa gofu kutoka Arusha, Shane Pandit amefanikiwa kutetea taji lake katika awamu ya tano ya mashindano ya…

Soma Zaidi »

Baba Ramsdale: Carragher kuwa na heshima

KAULI za kibaguzi za baadhi ya wadau wa soka duniani kwa wachezaji zinaendelea kuchukuwa sura mpya kwa wazazi wa wachezaji.…

Soma Zaidi »

Mbappe hatihati kuivaa Newcastle

MSHAMBULIAJI wa PSG, Kylian Mbappe amepata jeraha la kifundo cha mguu lililomlazimu kufanyiwa mabadiliko katika mchezo wa Ligue 1 dhidi…

Soma Zaidi »

Mgunga aibuka na Alikufa mara nyingi

DSM; “Alikufa mara nyingi!” Bila shaka unaweza ukajiuliza ina maana gani kauli hiyo? Ni nini? Nani? Ilikuwaje? Kwa nini? Hilo…

Soma Zaidi »

Katibu RFEF afutwa kazi

SHIRIKISHO la soka Hispania limemfuta kazi Katibu Mkuu, Andreu Camps na kuomba radhi kwa kilichotokea baada ya fainali ya Kombe…

Soma Zaidi »

Onana akubali lawama

MPAKA sasa kipa wa Manchester United, Andre Onana ameruhusu mabao 14 katika michezo sita msimu huu. – Kati ya mabao…

Soma Zaidi »

Messi aumia Miami

MSHAMBULIAJI wa Inter Miami, Lionel Messi alilazimika kufanyiwa mabadiliko dakika 37 baada ya kupata jeraha katika mchezo wa Ligi Kuu…

Soma Zaidi »
Back to top button