Michezo na Burudani

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Mwakinyo: Nina asilimia 5 kupanda ulingoni

DAR ES SALAAM: BONDIA Hassan Mwakinyo amesema ana asilimia 5 tu za kupanda ulingoni kwenye pambano lililopangwa kupigwa leo Septemba…

Soma Zaidi »

Mwakinyo msimamo ni uleule,

DAR ES SALAAM: BONDIA Hassan Mwakinyo amesema ana asilimia 5% tu za kupanda ulingoni kwenye pambano lililopangwa kupigwa leo septemba…

Soma Zaidi »

Napoli yakanusha kumdhihaki Osimhem

KLABU ya Napoli imesema video iliyopostiwa Septemba 26,2023 kupitia ukurasa wa Tiktok wa klabu hiyo ikionesha kumkejeli, mshambuliaji, Victor Osimhen…

Soma Zaidi »

Mwakinyo agomea pambano la kesho

BONDIA Hassan Mwakinyo amesema hatopanda ulingoni kupigana dhidi ya Bondia Julius Indonga kwenye pambano la kuwania mkanda wa IBA International…

Soma Zaidi »

Samia aagiza ujenzi viwanja viwili vya kisasa

RAIS Samia Suluhu Hassan ameiagiza Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo kufanya maandalizi ikiwemo kukamilika kwa wakati na kwa ubora…

Soma Zaidi »

Wolper: Sitaki utani na ndoa, familia yangu

DSM; Msanii wa filamu nchini Jacquline Wolper amesema anaweza kufanya utani wa mambo mengi, lakini si kuhusu ndoa yake. Amesema…

Soma Zaidi »

Mshambuliaji Scotland afariki dunia

MSHAMBULIAJI wa zamani wa Scotland, Jim Forrest amefariki dunia leo. Forrest aliwahi kucheza Rangers ya nchini humo, amefariki akiwa na…

Soma Zaidi »

Monalisa aja na Usiku wa Tuzo za Wanawake

DSM; Msanii mkongwe wa filamu nchini Yvone Cherrie ‘Monalisa’ , ameandaa Usiku wa Tuzo za Wanawake Novemba 23 mwaka huu…

Soma Zaidi »

Morocco kuandaa AFCON 2025

MOROCCO wameshinda nafasi ya kuandaa Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika 2025 kuchukua nafasi ya Guinea ambao walinyang’anywa haki…

Soma Zaidi »

AFCON 2027 kupigwa Afrika Mashariki

BREAKING NEWS: Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limepitisha ombi la nchi za Kenya, Uganda na Tanzania kuandaa fainali…

Soma Zaidi »
Back to top button