Michezo na Burudani

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Yanga, Marumo hapatoshi

YANGA wanashuka dimbani kuwakabili Marumo Gallants ya Afrika Kusini katika mchezo wa marudiano wa nusu fainali Kombe la Shirikisho la…

Soma Zaidi »

Simba kusukwa upya

MWENYEKITI wa Simba, Murtaza Mangungu amesema tayari wameanza mchakato wa kukisuka upya kikosi chao kwa ajili ya msimu ujao. Simba…

Soma Zaidi »

Bingwa Ligi ya Wanawake kupatikana Iringa leo

LIGI Kuu ya Wanawake inahitimishwa leo ambapo timu zinazoangaliwa ni Simba Queens na JKT Queens zenye nafasi ya kuchukua ubingwa…

Soma Zaidi »

Nabi kicheko mashabiki bure kesho

KITENDO cha klabu ya Marumo Gallants ya Afrika Kusini kutangaza mashabiki waingie bure kwenye mechi ya marudiano Kombe la Shirikisho…

Soma Zaidi »

Yanga yapaa ubora Afrika

MABINGWA wa Tanzania Bara, Yanga wameendelea kung’ara baada ya kupanda kutoka nafasi ya 19 mpaka ya tisa kama moja ya…

Soma Zaidi »

ADFA, Mega FM waandaa Arusha Super Cup

CHAMA Cha Soka Wilaya ya Arusha (ADFA) kwa kushirikiana na Mega FM Redio wameandaa mashindano yatakajulikana kwa jina la ‘’Mega…

Soma Zaidi »

Yanga mguu sawa Afrika Kusini

MENEJA wa Yanga, Walter Harrison amesema maandalizi yao kuelekea mchezo wa marudiano wa nusu fainali ya Kombe la Shirikisho la…

Soma Zaidi »

Baleke ni mali halali Simba

SIMBA SC imesema mshambuliaji wao, Jean Baleke ni mchezaji  halali kwa mkataba wa miaka miwili. Akizungumza na kituo kimoja cha…

Soma Zaidi »

Harmonize kuweka maisha yake katika filamu

NYOTA wa muziki wa Bongo Fleva, Rajabu Abdul ‘ Harmonize’ amesema ana mpango wa kutengeneza filamu kuelezea maisha yake ya…

Soma Zaidi »

Swear kumshirikisha Ally Kiba

MSANII wa muziki wa Bongo Fleva, kutoka Kisiwani Zanzibar, Ally Swear amesema ana mpango wa kutoa ngoma mpya akimshirikisha Staa…

Soma Zaidi »
Back to top button