Michezo na Burudani

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Chama afungiwa mechi tatu

KIUNGO wa Simba, Clatous Chama amefungiwa michezo mitatu ya Ligi Kuu Tanzania Bara na kutozwa faini ya Sh 500,000. –…

Soma Zaidi »

Raha Yanga zazidi kuongezeka

RAHA zinazidi kuongezeka kwa Yanga ya Dar es Salaam. – Yanga tayari imetetea ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara, imeingia…

Soma Zaidi »

Yanga, Singida zakamiana FA

LEO Yanga inashuka dimbani kwenye mechi ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho la Azam (FA) dhidi ya Singida Big…

Soma Zaidi »

Fainali yabadili ratiba Ligi Kuu Bara

BODI ya Ligi Kuu Tanzania Bara imefanya mabadiliko ya tarehe ya michezo iliyosalia ya ligi hiyo. Taarifa ya bodi hiyo…

Soma Zaidi »

 Mzamiru, Saido, Mayele wachomoza Tuzo za TFF

BODI ya Ligi (TPLB) imetoa orodha ya wachezaji watano wanaowania tuzo ya mchezaji bora wa Ligi Kuu kwa msimu wa…

Soma Zaidi »

Al Ahly kama Yanga tu!

MABINGWA wa muda wote wa michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL) Al Alhy ya Misri imetinga hatua ya fainali…

Soma Zaidi »

Simba: Hongereni Yanga, tumejifunza

MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi wa klabu ya Simba, Salim Abdallah ‘Try Again’ amewapongeza watani zao Yanga kwa kufika Fainali…

Soma Zaidi »

Mafanikio ya Yanga gumzo bungeni

KITENDO cha Waziri Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dk Dorothy Gwajima kuitaja klabu ya Yanga wakati akiwasilisha…

Soma Zaidi »

Rais Samia: Kila goli Yanga Sh milioni 20

RAIS Samia ametangaza kuipa timu ya Yanga sh milioni 20 kwa kila goli itakayofunga kwenye mchezo wa fainali na timu…

Soma Zaidi »

Arsenal yakomaa na Rice, Cancelo

Arsenal wanandaa ofa ya rekodi ya klabu ya pauni milioni 92 kumnunua kiungo wa kati wa West Ham,Declan Rice, 24.…

Soma Zaidi »
Back to top button