Michezo na Burudani

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Jina la Pele laingizwa kwenye kamusi Brazil

PELE, jina la utani la mfalme wa soka duniani ambaye aliaga dunia Desemba mwaka jana, rasmi limeingia kwenye kamusi ya…

Soma Zaidi »

Simba, Wydad kupigwa saa 4 usiku

MCHEZO wa Ligi ya Mabingwa kati ya Simba SC dhidi ya Wydad utapigwa saa 4:00 usiku kwa saa za Tanzania,…

Soma Zaidi »

Simba wapo imara Morocco

KOCHA Mkuu wa Simba, Roberto Oliveira ‘Robertinho’, amesema wapo tayari kuikabili Wydad Casablanca kesho na kwa maandalizi waliyofanya anaamini watapata…

Soma Zaidi »

Yanga yamuahidi makubwa Rais Samia

KLABU ya Yanga imemuahidi Rais Samia Suluhu Hassan kuwa wataendelea kupambana katika michuano ya kimataifa na ikiwezekana kufika hadi fainali…

Soma Zaidi »

City, Arsenal ukilala umelaliwa

Manchester City na Arsenal leo zitashuka Uwanja wa Etihad katika mchezo wa kuwania ubingwa wa Ligi Kuu England ‘EPL’, mchezo…

Soma Zaidi »

Beki aipa pigo Chelsea

BEKI wa Chelsea, Reece James atakosa mechi zote za Ligi Kuu England, baada ya kuumia misuli ya paja. Kocha wa…

Soma Zaidi »

Yanga yamnyima raha Pluijm

KOCHA Mkuu wa Singida Big Stars, Hans Pluijm amekiri kuwa ubora wa kikosi cha Yanga unamnyima usingizi kuelekea mechi mbili…

Soma Zaidi »

Robertinho aipigia hesabu upya Wydad

LICHA ya kupata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Wydad Casablanca, Kocha Mkuu wa Simba, Roberto Oliveira, amesema kuwa bado…

Soma Zaidi »

Yanga wana balaa

YANGA imetanguliza mguu mmoja mbele kuelekea hatua ya nusu fainali ya michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika baada ya jana…

Soma Zaidi »

Kocha wa Simbu afariki Dunia

Kocha wa mwanariadha maarufu wa Tanzania, Alphonce Simbu, Francis John amefariki Dunia. John alifariki Dunia usiku wa kuamkia jana katika…

Soma Zaidi »
Back to top button