Michezo na Burudani

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Elneny asaini mkataba mpya Arsenal

Kiungo wa Arsenal, Mohamed Elneny amesaini kataba mpya wa kuendelea kuitumikia klabu hiyo. Mmisri huyo  ndiye mchezaji aliyekaa muda mrefu…

Soma Zaidi »

Harmonize hafaidiki na nyimbo zake

Msanii Rajab Abdul ‘Harmonize’ amedai hajawahi kupata fedha kutokana na usambazaji wa nyimbo zake kwenye mitandao kwa kipindi cha miaka…

Soma Zaidi »

Geita Gold yaanza kusajili wanachama

TIMU ya Geita Gold FF inayomilikiwa na halmashauri ya mji wa Geita imezindua mpango wa kusajili wanachama wa klabu, lengo…

Soma Zaidi »

‘Sh mil 5 kila goli ni mechi zote CAF’

MSEMAJI Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema ahadi ya kununua magoli yatakayofungwa na Simba SC na Yanga kwenye mashindano ya…

Soma Zaidi »

Tuchel kurejea PSG?

Klabu ya Paris Saint German inajiandaa kumrejesha kocha Thomas Tuchel. Kocha huyo alitimuliwa Disemba 2020. Mtandao wa Evening Standard umeripoti…

Soma Zaidi »

Liverpool haiuzwi

Imeelezwa kuwa klabu ya Liverpool ya nchini England haiuzwi tena isipokuwa kuongeza uwekezaji. Henry Fenway Sports Group (FSG) ambao waliinunua…

Soma Zaidi »

Kidunda amtangazia maumivu mpinzani wake

BONDIA Seleman Kidunda, ametamba kumpiga KO ya raundi ya tatu mpinzani wake Patrick Mukala raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya…

Soma Zaidi »

Yanga waipania Mazembe

KOCHA Msaidizi wa Yanga, Cedric Kaze amesema ari waliyo nayo wachezaji wa timu hiyo ni kiashiria tosha cha kuibuka na…

Soma Zaidi »

Simba wapo tayari kwa vita kesho

KOCHA Mkuu wa Simba, Roberto Oliveira ‘Robertinho’ amesema wapo tayari kuikabili Raja Casablanca kesho kutokana na maandalizi waliyofanya na utayari…

Soma Zaidi »

Mambo yaanza Miss Pwani 2023

Mkoa wa Pwani umezindua rasmi kuanza kwa shindano la Miss Pwani mwaka 2023. Akizungumza na waandishi wa habari mkoani Pwani,…

Soma Zaidi »
Back to top button