Michezo na Burudani

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

City, United kuchapana mchana huu

LEO Manchester United watakuwa wenyeji wa Manchester City katika mechi ya Ligi Kuu England itakayopigwa saa 9:30 mchana katika Uwanja…

Soma Zaidi »

Potter athibitisha “Pulisic nje kwa miezi kadhaa”

KOCHA wa Chelsea, Graham Potter amethibitisha kuwa kiungo wa pembeni, Cristian Pulisic ameumia na atakuwa nje ya uwanja wa miezi…

Soma Zaidi »

Singida waitisha Mlandege fainali Mapinduzi

TIMU ya Singida Big Stars, imetamba itabeba ubingwa wa Kombe la Mapinduzi kutokana na ubora wa kikosi chao. “Tunajivunia rekodi…

Soma Zaidi »

Chelsea hii sasa sifa

CHELSEA imekamilishauhamisho wa mkopo wa miezi sita wa mchezaji Joao Felix kutoka Atletico Madrid mpaka mwisho wa msimu huu. “Chelsea…

Soma Zaidi »

Fei Toto kuiomba Fifa atafute timu

KIUNGO mahiri nchini Feisal Salum ‘Fei Toto’, ambaye ana mgogoro na klabu yake ya Yanga ya Dar es Salaam, anakusudia…

Soma Zaidi »

Simba kujipima na CSKA Moscow 

Simba SC imepanga kucheza mchezo wa kirafiki dhidi ya CSKA Moscow inayoshiriki Ligi Kuu nchini Urusi. CSKA Moscow ambayo mara…

Soma Zaidi »

Bale astaafu soka

Nahodha wa timu ya taifa ya Wales, Gareth Bale ametangaza rasmi kustaafu kucheza soka akiwa na umri wa miaka 33.…

Soma Zaidi »

Real Madrid yamtetea Zidane

MABINGWA wa kihistoria wa Ulaya Real Madrid wamesikitishwa na kauli isiyo ya kiungwana na iliyotafisiriwa kumkosea heshima ya Rais wa Shirikisho…

Soma Zaidi »

Roberto Martinez kocha mpya Ureno

Kocha wa zamani wa Ubelgiji Roberto Martinez ametangazwa kuwa kocha mpya wa timu ya Taifa ya Ureno, shirikisho la soka…

Soma Zaidi »

Minziro ataja sababu nyota Geita kuchukuliwa

KOCHA Mkuu wa Geita Gold, Fredy Minziro, amesema sababu ya timu nyingi kukimbilia kuwasajili wachezaji wao kwenye dirisha dogo ni…

Soma Zaidi »
Back to top button