Michezo na Burudani

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Guardiola ampigia debe Potter

Mkufunzi wa Manchester City, Pep Guardiola amemtaka mmiliki wa Chelsea kuwa na subira dhidi ya kocha Graham Potter ambaye anapitia…

Soma Zaidi »

Wamiliki PSG wasaka timu EPL

Wamiliki wa Qatari wa Paris Saint-Germain wanatazamia kuwekeza katika klabu ya Ligi Kuu ya Uingereza. Nasser Al-Khelaifi ambaye ni rais…

Soma Zaidi »

Azam waitaka Yanga Nusu Fainali Mapinduzi

YANGA leo usiku itacheza mchezo wake wa mwisho hatua ya makundi Kombe la Mapinduzi dhidi ya Singida Big Stars, lakini…

Soma Zaidi »

Antetokounmpo apiga pointi 55 za hatari

Nyota wa mpira wa kikapu wa Milwaukee Bucks , Giannis Antetokounmpo kwa mara ya kwanza amefunga pointi 55 za juu…

Soma Zaidi »

Simba kushusha mashine ya hatari!

MENEJA wa Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Simba, Ahmed Ally ameeleza kuwa timu hiyo inaendelea na mchakato wa usajili…

Soma Zaidi »

Mgunda ajitwisha Lawama matokeo Simba

KOCHA Msaidizi wa Simba, Juma Mgunda amesema yeye ndiye anayestaili lawama kufuatia timu hiyo kutolewa mapema kwenye Kombe la Mapinduzi.…

Soma Zaidi »

Angela ataka mashabiki wavute subira

MWIMBAJI wa bongo fleva, Angelina George maarufu kama ‘Angela’ amewataka mashabiki wake kuwa na subira muda utakapofika kila kitu kitakuwa bayana. Akizungumza na HABARILEO…

Soma Zaidi »

Nandy: Mashabiki msiulizie masuala ya familia yangu

MWIMBAJI wa muziki nchini, Faustina Mfinanga ‘Nandy’ ambaye ni mama wa mtoto mmoja amewaomba mashabiki wake waache kuulizia masuala ya…

Soma Zaidi »

Mudathir Yahya atua Yanga

KLABU ya Yanga, imemsajili kiungo wa zamani wa Azam FC, Mudathir Yahya kwa mkataba wa miaka miwili. Mudathir amejiunga na…

Soma Zaidi »

Simba SC yatangaza kocha mkuu

Klabu ya Simba imemtangaza Roberto Oliveira kuwa kocha mkuu wa timu hiyo, akichukua nafasi ya Zoran Maki aliyetimuliwa miezi kadhaa…

Soma Zaidi »
Back to top button