Bunge

Mitandao ya kijamii kutumika elimu kuhusu Muungano

DODOMA; SERIKALI imepanga kuongeza nguvu katika kutoa elimu ipasavyo kuhusu masuala ya Muungano kwa kutumia njia mbalimbali ikiwemo mitandao ya…

Soma Zaidi »

Shigongo ahoji utaratibu kurejeshwa RPL

DODOMA; MBUNGE wa Buchosa, Eric Shigongo amehoji bungeni ni lini serikali itarejesha utaratibu wa kutambua Maarifa Nje ya Mfumo Rasmi…

Soma Zaidi »

Watumishi 22,112 kuajiriwa afya, elimu

DODOMA; SERIKALI imesema katika mwaka 2023/2024 Serikali inatarajia kuajiri jumla ya watumishi 22,112 wakiwemo wa afya 10,112 na elimu 12,000,…

Soma Zaidi »

Mbunge ahoji kigezo cha kuandika mtihani kujiunga VETA

DODOMA; MBUNGE wa Viti Maalum, Rose Tweve, amehoji bungeni kaa kigezo cha mtihani wa kuandika kabla ya kujiunga na Vyuo…

Soma Zaidi »

Wabunge wapitisha bajeti Wizara ya Ujenzi

DODOMA; WABUNGE leo Mei 30,2024 wamepitisha bajeti ya Wizara ya Ujenzi kwa mwaka fedha 2024/2025 yenye vipaumbele tisa. Wizara ya…

Soma Zaidi »

Serikali kuja na bajeti rasmi barabara zilizoharibiwa

DODOMA; SERIKALI imesema wakati wa bajeti kuu itakuja na tamko la bajeti mahususi kurejesha barabara zilizoharibiwa na mvua. Kauli hiyo…

Soma Zaidi »

Mbunge Shangazi aulizia Barabara Kwekanda– Hekicho – Mkomazi

DODOMA; SERIKALI imesema katika mpango wa bajeti mwaka 2024/25, imetenga Sh milioni 313, ili kukamilisha uwekaji wa changarawe, tabaka la…

Soma Zaidi »

‘Tunaendelea na mkakati ujenzi vituo vya ukaguzi’

DODOMA: WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa, amesema serikali inaendelea na mpango mkakati wa ujenzi wa vituo vya ukaguzi katika maeneo mbalimbali…

Soma Zaidi »

Spika ‘apiga pini’ kuteta na Waziri Mkuu bungeni

DODOMA; SPIKA wa Bunge, Dk Tulia Ackson, amezuia wabunge na mawaziri kwenda kuzungumza na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Naibu…

Soma Zaidi »

‘Tujiandae kwa fursa AFCON 2027’

DODOMA: WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa, amewataka Watanzania kujiandaa na fursa mbalimbali kwa fainali za Mataifa ya Afrika (AFCON) zitakazofanyika mwaka…

Soma Zaidi »
Back to top button