Dodoma

Serikali yaahidi Mv Liemba, Mv Mwongozo ukarabati wake kukamilika mwakani

SERIKALI imesema ifikapo Oktoba mwakani meli za Mv Liemba na Mv Mwongozo zitakuwa zimeshafanyiwa ukarabati na kuanza kutoa huduma katika…

Soma Zaidi »

Swali la Mbunge Musukuma kivutio bungeni

MBUNGE wa Geita Vijijini, Joseph Kasheku maarufu ‘Musukuma’,  amekuwa kivutio leo baada  ya kunyoosha mkono bungeni na kuuliza swali kwa…

Soma Zaidi »

Mazao ya Tanzania yapata soko zuri kimataifa

SERIKALI imesema mazao kutoka Tanzania, yamekuwa yakiuzwa kwenye soko la  kimataifa, ikiwemo Nchi za Jumuiya ya Ulaya pasipo mashaka yoyote…

Soma Zaidi »

Watakiwa kutunga sheria ndogo kwa kuzingatia katiba, uhalisia

MAMLAKA zilizokasimiwa kutunga sheria ndogo na kanuni zimetakiwa kutunga kwa kuzingatia katiba na uhalisia wa maisha ya wananchi. Rai hiyo…

Soma Zaidi »

Ujenzi waanza mradi wa Safari City

UJENZI wa Mradi wa Safari City tayari umeanza ambapo mamlaka zinazohusika zimeendelea na uwekaji wa miundombinu muhimu ya barabara, maji…

Soma Zaidi »

Serikali kulipa tril 7.91/- deni la watoa huduma

NAIBU Waziri wa Fedha na Mipango, Hamad Hassan Chande amesema serikali itahakikisha madeni ya Sh trilioni 7.91 wanayodai wafanyakazi na…

Soma Zaidi »

Bil 100/- kuanzisha ujenzi vyuo vya Veta 62

SERIKALI imetenga Sh bilioni 100 kwa ajili ya kuanza ujenzi wa vyuo vya ufundi stadi katika wilaya 62, ambazo zilikuwa…

Soma Zaidi »

Mbunge ahoji urasimishaji vijana wa ujuzi nje ya mfumo

SERIKALI imeweka mkakati kupitia Mpango wa Taifa wa Maendeleo wa miaka mitano wa kurasimisha ujuzi uliopatikana nje ya mfumo rasmi…

Soma Zaidi »

Bunge kuchagua wabunge A. Mashariki leo

BUNGE la Tanzania Alhamis  linatarajiwa kuchagua wabunge tisa wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA). Katibu wa Bunge, Nenelwa Mwihambi alisema…

Soma Zaidi »

Zungu ataka udhibiti mapato bandari Dar

NAIBU Spika wa Bunge, Mussa Azan Zungu ametaka mifumo ya makusanyo katika Bandari ya Dar es Salaam iunganishwe ili kudhibiti…

Soma Zaidi »
Back to top button