Year: 2024

Afya

Waziri Stergomema azindua miradi ya mil 600/-

WAZIRI wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dk Stergomena Tax amezindua na kuweka Jiwe la Msingi miradi ya miwili…

Soma Zaidi »
Tanzania

Bashe azindua kituo atamizi cha mkonge

WAZIRI wa Kilimo Hussein Bashe amezindua kituo atamizi cha mkonge ambacho kitakuwa ni eneo la ubunifu na uzalishaji wa bidhaa…

Soma Zaidi »
Jamii

Shule zisiathiri usingizi wa mtoto

KUMBE watoto wenye umri wa kuanzia miaka sita hadi 13 wanapaswa kupata usingizi kuanzia jumla ya saa kati ya tisa…

Soma Zaidi »
Jamii

Ruwasa wajipanga kupunguza adha ya maji Geita

GEITA: SERIKALI kupitia Wakala wa Majisafi na Usafi wa Mazingira Vijijini (Ruwasa), imetenga kiasi cha Sh milioni 965.4 kwa ajili…

Soma Zaidi »
Infographics

Kilomita nne za lami kujengwa Geita kila mwaka

HALMASHAURI ya Mji wa Geita imejiwekea utaratibu wa kujenga takribani kilomita nne za lami kila mwaka ili kuongeza mtandao wa…

Soma Zaidi »
Tanzania

Mkandarasi atakiwa kuongeza kasi mradi wa maji

NAIBU Waziri wa Maji, Kundo Mathew amemtaka mkandarasi anayejenga mradi wa kutoa maji Mto Ruvuma kupeleka Mangaka, Wilaya ya Nanyumbu…

Soma Zaidi »
Infographics

Waziri Stergomena aanza ziara Mtwara

WAZIRI wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dk Stergomena Tax amewasili mkoani Mtwara tayari kuanza ziara ya kikazi ya…

Soma Zaidi »
Tanzania

RC Mtwara awapa neno waandishi wa habari Mtwara

MKUU wa Wilaya ya Mtwara, Abdallah Mwaipaya amewataka waandishi wa habari wilayani humo kuitendea haki taaluma yao kwa kufuata misingi…

Soma Zaidi »
Utalii

Sensa ya wanyamapori yazinduliwa Morogoro

WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Balozi Dk Pindi Chana amezindua rasmi zoezi la Sensa ya Wanyamapori lengo ikiwa ni kuhesabu…

Soma Zaidi »
Featured

Hakuna mawasiliano na mrithi wa Nasrallah

VYANZO vya habari vya usalama vya Lebanon vimesema havina mawasiliano na aliyeteuliwa kumrithi aliyekuwa kiongozi wa kundi la Hezbollah, Sayyed…

Soma Zaidi »
Back to top button