Year: 2024

Michezo na Burudani

Fid Q, Lord Eyes waja na ‘Neno’

Wanamuziki wa muziki wa Hip Hop Tanzania, Fid Q na Lord Eyes usiku wa Novemba 02 2024 kwa pamoja wametambulisha…

Soma Zaidi »
Featured

Simba mawindoni Ligi Kuu leo

LIGI Kuu Tanzania Bara inaendelea leo kwa mchezo mmoja kufanyika Dar es Salaam. Klabu ya Simba itakuwa wenyeji wa KMC…

Soma Zaidi »
Infographics

Tanzania yaivutia Afrika uwekezaji sekta ya nishati

CAPE TOWN, AFRIKA KUSINI: Tanzania imewaalika wawekezaji kutoka nje kuwekeza katika sekta ya nishati kwa kuwa kuna fursa mbalimbali. Akiwasilisha…

Soma Zaidi »
Infographics

Steve awalipua wasiojitokeza msibani

MSANII wa Bongo Movie Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ amewajia juu wasanii wa Bongo Fleva wenye taboa ya kutofika msibani na…

Soma Zaidi »
Featured

Tanesco waagizwa kupitia gharama za umeme vijijini

NAIBU Waziri wa Nishati amemuagiza Mkurugenzi Mtendaji Shirika la Umeme (TANESCO)  Mhandisi Gissima Nyamo-Hanga kufanya mapitio vijiji vinavyolipishwa kuunganisha umeme…

Soma Zaidi »
Featured

TRA kumaliza utata wa kodi Nyanghwale

MAMLAKA ya Mapato Nchini (TRA) ofisi za Geita imeendesha semina kwa wafanyabiashara wa Busolwa wilayani Nyang’hwale iliyolenga kuondoa dhana potofu…

Soma Zaidi »
Afya

Wananchi Kahama wachunguzwa saratani

WANANCHI 300 kutoka wilayani Kahama mkoani Shinyanga wamefanyiwa uchunguzi wa saratani ya mlango wa kizazi, matiti na tezi dume huku…

Soma Zaidi »
Featured

Dk Chana ataka matumizi ya Tehama ukusanyaji mapato

WAZIRI wa Maliasili na Utali, Balozi Dk Pindi Chana amemwagiza Kamishina wa Wakala wa Huduma na Misitu (TFS) Professa Do…

Soma Zaidi »
Infographics

Watu 8 wakamatwa Ujerumani kutaka kuipindua serikali

UJERUMANI : JESHI la Polisi nchini Ujerumani limewakamata washtakiwa nane wa kundi la  wanamgambo wenye mitazamo tofauti na serikali wanaoamini…

Soma Zaidi »
Tanzania

Mary Rusimbi; aliacha ‘ajira nono’ kuongoza TGNP

JANA gazeti hili lilikuwa na makala iliyoeleza wasifu wa Mkurugenzi Mstaafu wa Mfuko wa Wanawake Tanzania (WFT-Tanzania), Mary Rusimbi na…

Soma Zaidi »
Back to top button