Biashara

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Udokozi wa vifaa vya ujenzi uachwe

Udokozi wa vifaa vya ujenzi uachwe

RAIS  Samia Suluhu Hassan ameagiza wakandarasi pamoja na wafanyakazi katika miradi mbalimbali nchini kusimamia vifaa vya kazi ili kuepusha wizi…
Tafiti wa zao mbadala wa Korosho kufanyika

Tafiti wa zao mbadala wa Korosho kufanyika

WIZARA ya Kilimo imeendelea kufanya utafiti katika maeneo ya Mtwara ili kupata mazao mengine zaidi ya korosho, ambayo mkulima ataweza…
Acheni tamaa- Rais Samia

Acheni tamaa- Rais Samia

RAIS Samia Suluhu Hassan  amewataka wafanyakazi wa NSSF kuweka tamaa pembeni kwa sababu kila kitu wanachokifanya Mungu anawaona. Rais ametoa…
Mv Mwanza kukabidhiwa Agosti

Mv Mwanza kukabidhiwa Agosti

UJENZI wa meli mpya ya Mv Mwanza ‘Hapa Kazi Tu’ utakamilika mwezi Agosti mwaka huu na kukabidhiwa kwa serikali. Meli…
Kanda ya Kaskazini kunufaika na mradi wa umeme

Kanda ya Kaskazini kunufaika na mradi wa umeme

MRADI wa umeme wa Tanzania na Kenya  unatarajia  kuboresha huduma ya umeme mikoa ya Kanda ya Kaskazini Katibu Mkuu Wizara…
Maonesho ya viwanda kuunganisha wawekezaji

Maonesho ya viwanda kuunganisha wawekezaji

KWA mara ya kwanza Tanzania imeandaa Maonesho ya Kimataifa ya wenye viwanda kwa lengo la kuunganisha sekta hiyo na wawekezaji…
Samia kuongoza baraza la biashara kesho

Samia kuongoza baraza la biashara kesho

RAIS Samia Suluhu Hassan kesho anatarajiwa kuongoza Mkutano wa 14 wa Baraza la Taifa la Biashara (TNBC) utakaofanyika Ikulu ya…
Wizara ya Fedha yaomba kuidhinishwa Sh tril 15

Wizara ya Fedha yaomba kuidhinishwa Sh tril 15

Wizara ya Fedha na Mipango imeomba ridhaa ya Bunge kuidhinisha Sh trilioni 15.94 kwa ajili ya matumizi ya kawaida na…
TRA yawafunda waandishi wa habari

TRA yawafunda waandishi wa habari

MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imewapa semina waandishi wa habari  kuwajengea uwezo kuhusu masuala mbalimbali ya kodi. Akizungumza wakati wa…
‘Tuzungumze hali halisi katika uwekezaji’

‘Tuzungumze hali halisi katika uwekezaji’

VIONGOZI wa serikali pamoja na wanasiasa nchini wametakiwa kuzungumza uhalisia wa hali halisi katika uwekezaji ili kutafuta suluhisho katika eneo…
Back to top button