Biashara
WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.
Msitumie madalali maduka ya kubadili fedha
October 25, 2023
Msitumie madalali maduka ya kubadili fedha
KAGERA; Bukoba. Wafanyabiashara ambao wanaomba lesseni za kufungua maduka ya kubadilisha fedha za kigeni Benki Kuu ya Tanzania (BoT), wametakiwa…
“Ongezeni jitihada kuwafikia wafanyabiashara wadogo”
October 25, 2023
“Ongezeni jitihada kuwafikia wafanyabiashara wadogo”
WAKALA wa Usajili wa Biashara na Leseni (Brela), imeagizwa kuwafikia wafanyabiashara ambao hawajarasimishwa ili kusajili biashara zao kwa lengo la…
Taasisi kukwamua wakulima kiuchumi zao la maharage, alizeti
October 25, 2023
Taasisi kukwamua wakulima kiuchumi zao la maharage, alizeti
TAASISI ya Kuboresha Mifumo ya Masoko ya Kilimo Nchini (AMDT) imejidhatiti katika kuiunga mkono serikali kuwakwamua wakulima kiuchumi wa maharage…
SACCOS watakiwa kujisajili
October 23, 2023
SACCOS watakiwa kujisajili
MWANZA: VYAMA vya Ushirika wa Akiba na Mikopo Nchini(SACCOS) vimetakiwa kujisajili ili kutambulika kisheria. Wito huo ulitolewa leo na Mtendaji…
Benki yaongoza kuunganisha wateja
October 23, 2023
Benki yaongoza kuunganisha wateja
BENKI ya Stanbic inashikilia nafasi ya nne kwa ukubwa nchini kutokana na kuwaunganisha wateja ikiwemo vijana sanjari na kuwezesha mtangamano…
Mkataba uwekezaji bandari ni wa miaka 30
October 22, 2023
Mkataba uwekezaji bandari ni wa miaka 30
DODOMA; SERIKALI imeingia mkataba wa miaka 30 na Kampuni ya DP World ya kuendesha bandari ya Dar es Salaam. Mikataba…
‘Milango ipo wazi sekta binafsi kuwekeza’
October 22, 2023
‘Milango ipo wazi sekta binafsi kuwekeza’
DODOMA: SERIKALI imesema maendeleo ya nchi ni shirikishi, hivyo milango ipo wazi kwa sekta binafsi kuwekeza nchini na kufanya biashara.…
Samia: Mkataba bandari unaenda kuongeza mapato
October 22, 2023
Samia: Mkataba bandari unaenda kuongeza mapato
DODOMA: RAIS Samia Suluhu Hassan amesema mikataba iliyoingiwa kati Serikali na kampuni ya DP World ya nchini Dubai, inaenda kuongeza…
Wajivunia Tamasha la Serengeti Lite
October 22, 2023
Wajivunia Tamasha la Serengeti Lite
DAR ES SALAAM: ZAIDI ya wajasiriamali 500 wamenufaika na fursa za kibiashara kwa kuuza bidhaa mbalimbali pamoja na kutengeneza mtandao…
Taarifa ya Mkurugenzi Mkuu TPA hafla utiaji saini uwekezaji bandari
October 22, 2023
Taarifa ya Mkurugenzi Mkuu TPA hafla utiaji saini uwekezaji bandari
Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Rais…