Biashara

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Washauri mwongozo mazingira mazuri ya biashara

Washauri mwongozo mazingira mazuri ya biashara

SERIKALI imeshauriwa kupeleka bungeni muongozo wa kuweka mazingira mazuri ya biashara nchini blueprint Ili kuwa ni wa kisheria na kuweza…
Korosho kusafirishwa Bandari ya Mtwara

Korosho kusafirishwa Bandari ya Mtwara

WAKUU wa mikoa ya Mtwara, Ruvuma na Lindi wamekubaliana kusafirisha korosho ghafi kwa kutumia Bandari ya Mtwara kwenye msimu wa…
Mtanzania anayemiliki kiwanda Thailand

Mtanzania anayemiliki kiwanda Thailand

BANGKOK, Thailand: WAKATI wa ziara ya Ujumbe wa Tanzania nchini Thailand, mbali na kutembelea shughuli za madini, ulipata wasaa wa…
Bashungwa ambana mkandarasi, atoa siku 14

Bashungwa ambana mkandarasi, atoa siku 14

MBEYA: Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ametoa siku 14 kwa Wakala wa Barabara (TANROADS), Bodi ya Usajili wa Makandarasi (CRB)…
Tigo yajivunia mikopo kwa wakulima

Tigo yajivunia mikopo kwa wakulima

KAMPUNI ya Tigo inayosaidia kuleta mageuzi ya kidijitali nchini, leo imezindua maadhimisho ya wiki ya huduma kwa wateja huku ikijivunia…
Sagini azindua mfumo wa kidigitali wa huduma za fedha Jeshi la polisi

Sagini azindua mfumo wa kidigitali wa huduma za fedha Jeshi la polisi

DAR ES SALAAM: Jeshi la Polisi nchini leo Septemba 30, 2023 limezindua Mfumo wa kidijitali wa huduma za kifedha uitwao…
Madereva wakumbushwa kufuata sheria Arusha

Madereva wakumbushwa kufuata sheria Arusha

WAMILIKI wa vyombo vya usafirishaji jijini Arusha, daladala na bajaji wametakiwa kufuata sheria na kanuni zilizowekwa na serikali katika usafirishaji…
TPA: Uwekezaji bandarini umejikita kiteknolojia

TPA: Uwekezaji bandarini umejikita kiteknolojia

GEITA; MAMLAKA ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), imebainisha kwamba uwekezaji unaoenda kufanyaika kwenye bandari unalenga kuboresha teknolojia na ufanisi…
TRA yaja kivingine ukusanyaji mapato

TRA yaja kivingine ukusanyaji mapato

HALMASHAURI ya Wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro imeanza kazi ya kuwatambua wafanyabiashara wake wote ili wasajiliwe kwenye mfumo mpya wa…
Wawekezaji wahakikishiwa mazingira mazuri

Wawekezaji wahakikishiwa mazingira mazuri

DSM; KATIBU  Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara Dk Hashil Abdallah,  amesema Ofisa yeyote wa Serikali  atakayekwamisha ufanyaji biashara,…
Back to top button