Biashara

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Rais Samia apongezwa kuwasikiliza wafanyabiashara

Rais Samia apongezwa kuwasikiliza wafanyabiashara

NAIBU Spika, Mussa Azzan Zungu amempongeza Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kwa kumuagiza Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kufika viwanja…
NBC yakabidhi gawio la bilioni 6/- serikalini

NBC yakabidhi gawio la bilioni 6/- serikalini

Serikali imepokea kiasi cha Shilingi  bilioni sita kutoka Benki ya Taifa ya Biashara (NBC). Kiasi hicho ni sehemu ya gawio…
Wakulima walipwa Tril 2.9 mazao ya kimkakati

Wakulima walipwa Tril 2.9 mazao ya kimkakati

TUME ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania (TCDC) imesema tani trillioni 1.009 za mazao ya kimkakati ya tumbaku, kakao, pamba ,…
Tukadange?

Tukadange?

MFANYABIASHARA maarufu wa vipodozi soko la Kariakoo, anayefahamika kwa jina la Sinyagile ‘Sinyaa’ amedai kuwa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA)…
Waishukuru serikali mazingira rafiki taasisi za fedha

Waishukuru serikali mazingira rafiki taasisi za fedha

WAKALA ambaye anafanya huduma za kifedha Emmanuel Mnema, ameishukuru Serikali kwa kuandaa mazingira mazuri kwa taasisi za kifedha na kusababisha…
LIVE: Waziri Mkuu anazungumza na wafanyabiashara Mnazi Mmoja

LIVE: Waziri Mkuu anazungumza na wafanyabiashara Mnazi Mmoja

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa muda huu anazungumza na wafanyabiashara wa soko la kimataifa la kariakoo katika viwanja vya Mnazi Mmoja,…
‘Kuna watu wanafaidika mgomo Kariakoo’

‘Kuna watu wanafaidika mgomo Kariakoo’

MWENYEKITI wa wafanyabiashara Karikaoo, Martin Mbwana amesema mgomo unaoendelea sasa unatokana na ushawishi wa kikundi cha watu wachache wenye maslahi…
TRA Kigoma yahamasisha umuhimu wa risiti

TRA Kigoma yahamasisha umuhimu wa risiti

Mamlaka ya mapato Tanzania (TRA) Mkoani Kigoma, imeeleza licha ya utoaji wa elimu ya mlipa kodi bado suala hilo limeendelea…
Twiga Cement yasaidia waathirika mafuriko Rwanda

Twiga Cement yasaidia waathirika mafuriko Rwanda

KAMPUNI ya Saruji Tanzania Portland Cement ijulikanayo kwa jina la Twiga Cement imekabidhi tani 64 sawa na mifuko 1,280 ya…
Chalinze Cement yaishitaki Brela kufutiwa leseni

Chalinze Cement yaishitaki Brela kufutiwa leseni

KAMPUNI ya Saruji ya Chalinze imefungua kesi ya madai katika Mahakama Kuu Masijala Kuu Dar es Salaam, dhidi ya Wakala…
Back to top button