Biashara
WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.
NBC yaja na ‘funga mwaka kibabe’
December 5, 2022
NBC yaja na ‘funga mwaka kibabe’
Katika juhudi za kukuza miamala ya papo kwa papo, salama na malipo ya bila kutumia pesa taslimu nchini, Benki ya…
Wadau ufugaji kuku waonyesha imani kulinda soko
December 4, 2022
Wadau ufugaji kuku waonyesha imani kulinda soko
WADAU wa ufugaji wa kuku nchini wameonesha imani kwa serikali ya awamuya sita inayoongozwa na Rais Dk Samia Suluhu Hassan…
Profesa Mbarawa aitaka TPA kutangaza maboresho bandari ya Mtwara
December 3, 2022
Profesa Mbarawa aitaka TPA kutangaza maboresho bandari ya Mtwara
WAZIRI wa Ujenzi na Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa amewataka Mamlaka ya Bandari Nchini (TPA) kutangaza maboresho makubwa ambayo yamefanyika katika…
RC Malima apiga marufuku matumizi ya daraja ‘dogo’ la JPM
December 2, 2022
RC Malima apiga marufuku matumizi ya daraja ‘dogo’ la JPM
MKUU wa Mkoa wa Mwanza (RC), Adam Malima, amezuia magari kupita katika daraja la muda linalotumiwa na mkandarasi kupitishia vifaa…
Operesheni funga maduka yazua gumzo Bukoba, Machali acharuka
December 2, 2022
Operesheni funga maduka yazua gumzo Bukoba, Machali acharuka
MKUU wa Wilaya ya Bukoba, Mosses Machali ameelekeza maduka yote ya wafanyabiashara ambao hawana leseni za biashara yafungwe hadi hapo…
NFRA yasambaza mahindi kwenye halmashauri 46
December 1, 2022
NFRA yasambaza mahindi kwenye halmashauri 46
WAKALA ya Taifa ya Hifadhi ya Chakula (NFRA), umepeleka mahindi kwenye halmashauri 46 zenye uhitaji na unaendelea kupokea maombi ya…
Majaliwa aita mjadala eneo huru la biashara Afrika
December 1, 2022
Majaliwa aita mjadala eneo huru la biashara Afrika
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amesema makubaliano ya eneo huru la biashara Afrika yana lengo la kuleta mageuzi ya kiuchumi barani…
Majaliwa: Hakuna uwekezaji utakaokwama
November 30, 2022
Majaliwa: Hakuna uwekezaji utakaokwama
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amesema serikali ina dhamira ya dhati kuhakikisha wawekezaji wanapata faida na hakuna mwekezaji atakayekwama kwa namna…
Uingereza yafuta ushuru bidhaa za Tanzania
November 30, 2022
Uingereza yafuta ushuru bidhaa za Tanzania
SERIKALI ya Uingereza imefungua milango kwa bidhaa za Tanzania kulifikia soko la nchi hiyo bila kutozwa ushuru. Kaimu Katibu Mkuu…
Majaliwa: Uwekezaji nchini hautakwama
November 29, 2022
Majaliwa: Uwekezaji nchini hautakwama
WAZIRI Kassim Majaliwa amesema kuwa Serikali ya awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan itaendelea kuwaunga mkono wawekezaji…