Biashara
WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.
TPA yaiwekea mikakati Bandari ya Bagamoyo
September 24, 2022
TPA yaiwekea mikakati Bandari ya Bagamoyo
MAMLAKA ya Usimaizi Bandari nchini (TPA), imesema iko katika maandalizi ya ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo, itakayosaidia utoaji wa huduma…
TTB, Njombe waipangia mikakati hifadhi ya Kitulo
September 24, 2022
TTB, Njombe waipangia mikakati hifadhi ya Kitulo
BODI ya Utalii nchini (TTB), imepanga kuinua utalii uliopo Nyanda za Juu Kusini, husuani mkoa wa Njombe katika hifadhi ya…
Wahandisi watakiwa kuchangamkia fursa za miradi
September 23, 2022
Wahandisi watakiwa kuchangamkia fursa za miradi
SERIKALI imeahidi kuendeleza, kuibua, kutambua, kukuza na kuendeleza ubunifu unaofanywa na wahandisi wazawa kwa maendeleo endelevu ya Taifa. Waziri wa…
TARURA: Ujenzi kwa teknolojia ya mawe huokoa gharama
September 23, 2022
TARURA: Ujenzi kwa teknolojia ya mawe huokoa gharama
WAKALA wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA), imesema ujenzi wa barabara na madaraja kwa kutumia teknolojia ya mawe na…
Ujenzi barabara ya mchepuko mbioni kuanza
September 23, 2022
Ujenzi barabara ya mchepuko mbioni kuanza
WAKALA wa Barabara Tanzania (TANROADS) Mkoa wa Ruvuma, iko katika hatua za mwisho za kuanza ujenzi wa barabara ya mchepuko…
Mkandarasi akabidhiwa ujenzi bwawa
September 23, 2022
Mkandarasi akabidhiwa ujenzi bwawa
MKUU wa Mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule, amemkabidhi mkandarasi aliyeshinda zabuni mradi wa ujenzi wa bwawa litakalotumika kwa kilimo cha…
Bil 20/- kufikisha maji Bandari ya Kwala
September 23, 2022
Bil 20/- kufikisha maji Bandari ya Kwala
WIZARA ya Maji imeridhia kutoa Sh bilioni 20 kwa ajili ya mradi wa maji katika bandari kavu ya Kwala iliyopo…
ACT-Wazalendo yaunga msimamo bomba la mafuta
September 23, 2022
ACT-Wazalendo yaunga msimamo bomba la mafuta
CHAMA cha ACT-Wazalendo kimelitaka Bunge la Ulaya kuondoa azimio la kutaka kusitishwa kwa mradi wa ujenzi wa bomba la mafuta…
Wapinzani waisifu serikali marekebisho tozo
September 23, 2022
Wapinzani waisifu serikali marekebisho tozo
VIONGOZI wa vyama vya siasa nchini wameipongeza serikali kurekebisha tozo na wameshauri itafute vyanzo vingine kuongeza mapato. Katibu Mkuu wa…
Serikali yaungwa mkono tozo
September 23, 2022
Serikali yaungwa mkono tozo
WAFANYABIASHARA, wachambuzi wa masuala ya uchumi na wanasiasa wamepongeza serikali kwa kuweka mfumo wa tozo ili kutekeleza miradi ya maendeleo.…