Biashara

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

TIC yasajili miradi ya ajira 654,260 miaka 10

TIC yasajili miradi ya ajira 654,260 miaka 10

SERIKALI kupitia Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) katika kipindi cha miaka 10, jumla ya miradi 4,543 ilisajiliwa yenye thamani ya…
Nanyumbu wakamilisha barabara ya lami Mangaka

Nanyumbu wakamilisha barabara ya lami Mangaka

WAKALA wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA), Halmashauri ya Nanyumbu, mkoani Mtwara, imekamilisha ujenzi wa barabara ya lami yenye…
Wafugaji kuku Dar wawatwisha lawama wafanyabiashara

Wafugaji kuku Dar wawatwisha lawama wafanyabiashara

BAADHI ya wafugaji wa kuku katika Mkoa wa Dar es Salaam na Pwani, wameacha kufuga kuku kutokana na hasara waliyoipata…
Kongamano la biashara China, Tanzania laiva

Kongamano la biashara China, Tanzania laiva

ZAIDI ya Taasisi 50 zinatarajiwa kushiriki Kongamano la Biashara la Kimataifa  lililoandaliwa na Jukwaa lijulikanalo kama ‘China Trade Week’ (CTW)…
CRDB yawatangazia raha wakulima Mtwara

CRDB yawatangazia raha wakulima Mtwara

BENKI ya CRDB Kanda ya Kusini, imewashauri wakulima wa zao la korosho mkoa wa Mtwara kutumia tembo card, wakati wa…
Runali waanza kugawa magunia tayari kwa msimu wa korosho

Runali waanza kugawa magunia tayari kwa msimu wa korosho

CHAMA Kikuu cha Ushirika cha Mkoa wa Lindi cha Runali kinachohudumia wilaya za Ruangwa, Nachingwea na Liwale jana kimeanza kugawa…
Waomba ujenzi wa barabara ya lami mpakani na Msumbiji

Waomba ujenzi wa barabara ya lami mpakani na Msumbiji

WANANCHI wa vijiji vinavyopitiwa na Barabara ya Likuyufusi –Mkenda na nchi jirani ya Msumbiji kwa upande wa Mkoa wa Ruvuma,…
Ujenzi miundombinu kuvutia wawekezaji

Ujenzi miundombinu kuvutia wawekezaji

MKAKATI wa serikali ni kuhakikisha inajenga miundombinu wezeshi ili kuvutia wawekezaji katika maeneo mbalimbali nchini, bunge limeelezwa. Naibu Waziri wa…
Wabunge, wasomi waipa ‘tano’ serikali kufuta tozo

Wabunge, wasomi waipa ‘tano’ serikali kufuta tozo

SERIKALI imepongezwa kwa kusikiliza kilio cha wananchi na kupunguza baadhi ya tozo za miamala ya kielektroniki kuanzia Oktoba Mosi, mwaka…
Mkurabita yaanza kurasimisha biashara ya bodaboda

Mkurabita yaanza kurasimisha biashara ya bodaboda

MRATIBU wa Mpango wa Kurasimisha Rasilimali na Biashara za Wanyonge Tanzania (MKURABITA), Dk Seraphia Mgembe amesema mwaka huu wamerasimisha biashara…
Back to top button