Biashara

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Iran yasifu fursa za uwekezaji Tanzania

Iran yasifu fursa za uwekezaji Tanzania

SERIKALI imewahakikishia wafanyabiashara na wawekezaji wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran mazingira salama ya biashara na uwekezaji. Naibu Waziri wa…
NSSF yajitosa mchango wa diaspora kukuza uchumi

NSSF yajitosa mchango wa diaspora kukuza uchumi

MFUKO wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) umeunga mkono mchango mkubwa unaotolewa na Watanzania Wanaoishi Nje ya Nchi (Diaspora),…
Kampeni kudhibiti vibebeo vya plastiki wiki ijayo

Kampeni kudhibiti vibebeo vya plastiki wiki ijayo

SERIKALI imepanga kuanza kampeni kabambe ya kitaifa ya kupambana na matumizi ya vifungashio kuwa vibebeo iliyolenga kuanza Jumatatu ijayo nchini…
Serikali yatenga bil 12/- Tazara kuongeza ufanisi

Serikali yatenga bil 12/- Tazara kuongeza ufanisi

SERIKALI imesema kwa mwaka wa fedha 2022/2023 imetenga zaidi ya Sh bilioni 12 kwa ajili ya Mamlaka ya Reli ya…
Mkonge wamvuta mwana wa mfalme nchini

Mkonge wamvuta mwana wa mfalme nchini

BODI ya Mkonge Tanzania (TSB) imesema iko tayari kushirikiana na Falme ya Babina Noko Ba Mampuru iliyopo katika Jimbo la…
Wanawake wahamasishwa ufugaji wa nyuki

Wanawake wahamasishwa ufugaji wa nyuki

ALICE Kibipi mfugaji nyuki wilayani Butiama, mkoa wa Mara amewashauri wanawake wenzake kujikita katika biashara hiyo na kuachana na dhana…
TRA kuiwekea mkakati Tanga

TRA kuiwekea mkakati Tanga

MAMLAKA ya Mapato nchini (TRA),  inatarajiwa kuufanya Mkoa wa Tanga kuwa wa kimkakati katika ukusanyaji wa mapato nchini Hayo yamesemwa…
NMB yafadhili Mfumo wa Diaspora kwa mil 100/-

NMB yafadhili Mfumo wa Diaspora kwa mil 100/-

BENKI ya NMB na Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, wamesaini Hati ya Makubaliano (MoU), ambapo…
Serikali yahimiza uwekezaji sekta ya mifugo

Serikali yahimiza uwekezaji sekta ya mifugo

Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mashimba Ndaki ameihimiza sekta binafsi nchini kuwekeza katika sekta ya mifugo kwa sababu kuna fursa…
Serikali ya ahidi kuendelea kuwekeza TAZARA

Serikali ya ahidi kuendelea kuwekeza TAZARA

SERIKALI imesema imetenga zaidi ya Sh bilioni 12 katika mwaka wa fedha 2022/23 kwa ajili ya kuongeza ufanisi wa utoajki…
Back to top button