Biashara

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Miico wajikita kutatua udumavu Momba

Miico wajikita kutatua udumavu Momba

SONGWE: KUTOKANA na Wilaya ya Momba iliyopo mkoani Songwe kuwa na kiwango kikubwa cha udumavu ambacho ni asilimia 31.9 licha…
Miundombinu ya usafiri kuimarishwa Ukanda wa Kati Afrika

Miundombinu ya usafiri kuimarishwa Ukanda wa Kati Afrika

DAR ES SALAAM. SERIKALI ya Tanzania imeahidi kuendelea kuwekeza kwa nguvu katika miundombinu ya usafiri kwa lengo la kukuza biashara…
Samia awaita wawekezaji viwanda kuchakata pamba nchini

Samia awaita wawekezaji viwanda kuchakata pamba nchini

RAIS Samia Suluhu Hassan amewaomba wawekezaji wa viwanda vya kuchakata pamba wahakikishe wanatumia pamba inayolimwa nchini ili kuwapa wakulima soko…
Bandari ya Dar kuimarisha usafirishaji wa mazao

Bandari ya Dar kuimarisha usafirishaji wa mazao

DODOMA — Naibu Waziri wa Uchukuzi, David Kihenzile, amesema kuwa Serikali imetenga eneo maalum kwa ajili ya kuboresha huduma za…
Bei ya ufuta yawa tumaini la wadau

Bei ya ufuta yawa tumaini la wadau

MSIMU kwanza wa mnada wa zao la biashara la ufuta kwa njia ya mfumo wa stakabadhi ghalani 2025/2026 umefunguliwa. Katika…
Malengo ya uchumi 2025/2026, mikakati kuongeza mapato

Malengo ya uchumi 2025/2026, mikakati kuongeza mapato

JUNI 12, 2025 Waziri wa Fedha, Dk Mwigulu Nchemba aliwasilisha Mapendekezo ya Serikali Kuhusu Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa…
Wadaiwa wapewa siku 14 kurejesha mikopo

Wadaiwa wapewa siku 14 kurejesha mikopo

DAR ES SALAAM: KAMPUNI ya Tambaza Auction Mart na General Brokers Limited, kwa niaba ya Bodi ya Amana, imetoa siku…
Mifugo, uvuvi inachangia 6% pato la taifa – Dk Nchimbi

Mifugo, uvuvi inachangia 6% pato la taifa – Dk Nchimbi

SUMIYU: KATIBU wa Mkuu Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk Emmanuel Nchimbi amesema Wizara ya Mifugo na Uvuvi inachangia asilimia…
Timu za MKUMBI II, Maboresho ya Kodi zakutana

Timu za MKUMBI II, Maboresho ya Kodi zakutana

KATIBU Mkuu wa Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Dk Tausi Kida, amezikutanisha Timu za Wataalamu wa Kuandaa Mpango wa…
Back to top button