Biashara

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Kilio cha wavuvi Mwanza chamfikia Kinana

Kilio cha wavuvi Mwanza chamfikia Kinana

WAVUVI wa Mikoa ya Mwanza na Mara, wamewasilisha kilio chao kwa Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, Abdulrahman Kinana, wakilalamika…
BRELA waombwa kusaidia wafanyabiashara Mara

BRELA waombwa kusaidia wafanyabiashara Mara

RAIS wa Chemba ya Biashara, Viwanda na Kilimo (TCCIA),  Paul Koy, ameishauri Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA),…
RC aipigia chapuo Self Microfinance kwa kukuza mitaji

RC aipigia chapuo Self Microfinance kwa kukuza mitaji

MKUU wa Mkoa wa Tanga, Omari Mgumba ameupongeza Mfuko wa Self Microfinance kwa kukuza mitaji yao kutoka Sh bilioni 57…
Watumishi wa umma washauriwa uwekezaji kabla ya kustaafu

Watumishi wa umma washauriwa uwekezaji kabla ya kustaafu

WATUMISHI wa umma mkoani Tabora wameshauriwa kuwekeza katika miradi ya maendeleo ikiwemo kilimo, ufugaji na biashara kwa kutumia fursa za…
NBC yapongezwa ujenzi mfumo jumuishi wa fedha

NBC yapongezwa ujenzi mfumo jumuishi wa fedha

RAIS Samia Suluhu Hassan amezipongeza taasisi za fedha nchini ikiwemo Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) kwa namna zinavyoendelea kuunga…
Taasisi ya Nelson Mandela yakubaliana na ICDL kupaisha maendeleo ya kidijiti

Taasisi ya Nelson Mandela yakubaliana na ICDL kupaisha maendeleo ya kidijiti

TAASISI ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela  (NM-AIST) imesaini mkataba wa makubaliano ya ujuzi wa kidijiti na Taasisi ya…
Dar, Mwanza waongoza laini za simu

Dar, Mwanza waongoza laini za simu

MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), imetoa ripoti kuhusu takwimu za mawasiliano ya simu nchini inayoonesha hadi Juni mwaka huu laini…
Vijana wapewa somo kuwekeza kilimo

Vijana wapewa somo kuwekeza kilimo

WADAU wa sekta ya kilimo wamepongeza mwito wa serikali kwa vijana wajiajiri kwenye sekta ya kilimo kwa kuwa kinalipa. Agosti…
Serikali kutunga sheria,sera ya mama ntilie

Serikali kutunga sheria,sera ya mama ntilie

WAZIRI wa Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wanawake na Makundi Maalumu, Dk Doroth Gwajima amesema serikali itatunga sheria na sera ambazo zitalenga kuwasaidia…
Bil 83/- zatolewa kumaliza uhaba wa mbegu

Bil 83/- zatolewa kumaliza uhaba wa mbegu

SERIKALI imedhamiria kumaliza uhaba wa mbegu ili kuimarisha sekta ya kilimo kwa kuwekeza kwenye uzalishaji wa mbegu bora. Waziri wa…
Back to top button