Biashara

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

“Changamoto zisizuie biashara mtandao”

“Changamoto zisizuie biashara mtandao”

TAASISI ya Sekta Binafsi nchini (TPSF) imesema licha ya kuwepo kwa fursa mbalimbali za biashara katika Soko Huru la Afrika…
TCB kushirikiana na SMZ kukuza uchumi

TCB kushirikiana na SMZ kukuza uchumi

ZANZIBAR: Benki ya Biashara Tanzania (TCB) imeendelea kusisitiza dhamira yake ya kushirikiana na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar katika vipaumbele vyake…
Benki yaadhimisha miaka 50 tangu kuanzishwa

Benki yaadhimisha miaka 50 tangu kuanzishwa

BENKI ya I&M imeadhimisha kumbukizi ya miaka 50 tangu kuanzishwa kwake mwaka 1974. Maadhimisho hayo yamefanyika wiki hii makao makuu…
Washauriwa kutumia taasisi rasmi huduma za fedha

Washauriwa kutumia taasisi rasmi huduma za fedha

WANANCHI Halmashauri ya Mlimba iliyopo wilayani Kilombero mkoani Morogoro wametakiwa kuhakikisha wanatumia taasisi za huduma ndogo za fedha ambazo zimeidhinishwa…
TRA kutumia ‘Ndondo Cup’ kuzuia utumiaji bidhaa hatarishi

TRA kutumia ‘Ndondo Cup’ kuzuia utumiaji bidhaa hatarishi

DAR ES SALAAM: MKURUGENZI wa Huduma na Elimu kwa Mlipakodi wa TRA, Richard Kayombo amesema TRA imeamua kutumia michezo katika…
Serikali kuboresha mazingira ya uwekezaji

Serikali kuboresha mazingira ya uwekezaji

WAZIRI wa Fedha, Mwigulu Lameck Nchemba ameihakikishia Jumuiya ya Kimataifa na Watanzania kwa ujumla kwamba serikali inaendelea kuweka na kuboresha…
Dola milioni 8 kukuza biashara

Dola milioni 8 kukuza biashara

DAR ES SALAAM: SERIKALI ya Marekani kupitia Shirika la Maendeleo ya Kimataifa la Marekani (USAID), imesema itatoa uwekezaji wa Dola…
“Mamlaka inachangia ongezeko la chakula”

“Mamlaka inachangia ongezeko la chakula”

DODOMA: MKURUGENZI Mkuu wa Mamlaka ya Afya ya Mimea na Viuatilifu nchini, (TPHPA), Profesa Joseph Ndunguru amesema mamlaka hiyo ina…
PBZ yaongeza faida kwa asilimia 18

PBZ yaongeza faida kwa asilimia 18

ZANZIBAR: BENKI ya Watu wa Zanzibar (PBZ Bank) imetangaza ripoti yake ya kifedha ya nusu ya kwanza ya mwaka 2024,…
TCB, Bunge wafungua ukurasa mpya kuinua wajasiriamali

TCB, Bunge wafungua ukurasa mpya kuinua wajasiriamali

DAR ES SALAAM: Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Biashara Tanzania (TCB), Adam Mihayo, amemtembelea na kuzungumza na Spika wa Bunge,…
Back to top button