Biashara
WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.
Malima ahimiza kilimo cha mazao ya kimkakati Mlimba
June 21, 2024
Malima ahimiza kilimo cha mazao ya kimkakati Mlimba
SERIKALI ya mkoa wa Morogoro imewataka madiwani na watendaji wa halmashauri ya Mlimba, Wilaya ya Kilombero kuhamasisha wananchi kuzalisha mazao…
Prof Bisanda asisitiza utunzaji rasimali Chuo Kikuu huria
June 20, 2024
Prof Bisanda asisitiza utunzaji rasimali Chuo Kikuu huria
MAKAMU Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT), Profesa Elifas Bisanda amesisitiza utunzaji sahihi wa rasilimali za chuo hicho…
Mkakati kuhakikisha usalama, ubora vyakula vya mifugo
June 20, 2024
Mkakati kuhakikisha usalama, ubora vyakula vya mifugo
SERIKALI imekutana na Vyama vya Ndege Wafugwao pamoja na Chama cha Wazalisha wa Vyakula vya Mifugo (TAFMA), ili kuhakikisha usalama…
Wabunge washauri njia za kuongeza kasi uchumi
June 20, 2024
Wabunge washauri njia za kuongeza kasi uchumi
DODOMA – WABUNGE wameishauri serikali izingatie kuboresha kilimo, elimu na mazingira ya biashara kama njia za kuongeza kasi ya kukuza…
Swissport yawapa gawio wanahisa
June 19, 2024
Swissport yawapa gawio wanahisa
DAR ES SALAAM; Kampuni ya Swissport imetoa gawio la asilimia 51.3 sawa na Sh bilioni 1.8 kwa wanahisa wake. Akizungumza…
Tozo matumizi miundombinu bandari kurudi TPA
June 15, 2024
Tozo matumizi miundombinu bandari kurudi TPA
DODOMA – SERIKALI imependekeza marekebisho kwenye Sheria ya Bandari ya Mwaka 2004 ili kurejesha jukumu la kukusanya tozo ya matumizi…
BoT kuhifadhi dhahabu tani 6 za tril 1.04/-
June 15, 2024
BoT kuhifadhi dhahabu tani 6 za tril 1.04/-
DODOMA – SERIKALI imesema ina lengo la kununua tani sita za dhahabu yenye thamani ya dola za Marekani milioni 400…
Wasomi, wanasiasa wakoshwa bajeti 2024/25
June 15, 2024
Wasomi, wanasiasa wakoshwa bajeti 2024/25
DAR ES SALAAM – WASOMI, wanasiasa na wachumi wamepongeza bajeti ya serikali kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025 huku wakiishauri serikali…
Tuzo Chaguo la Wateja kufanyika Novemba
June 14, 2024
Tuzo Chaguo la Wateja kufanyika Novemba
DAR ES SALAAM; TUZO za Chaguo la Wateja (CCAA) zinatarajiwa kufanyika Novemba mwaka huu jijini Dar es Salaam. Akizungumza wakati…
Kitila abainisha uthabiti kiuchumi, kifedha
June 14, 2024
Kitila abainisha uthabiti kiuchumi, kifedha
DODOMA – SERIKALI imesema katika kipindi cha Julai mwaka jana hadi Machi mwaka huu urari wa malipo yote ya nje…