Biashara

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Wakulima Muheza wataka ushirika kukwepa ulanguzi

Wakulima Muheza wataka ushirika kukwepa ulanguzi

WAKULIMA wa mazao ya viungo katika vijiji vilivyopo katikati ya Hifadhi ya Misitu ya Amani na Nilo Halmashauri ya Wilaya…
Samia mgeni rasmi uzinduzi CEAT

Samia mgeni rasmi uzinduzi CEAT

RAIS Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa Umoja wa Kampuni za Kichina (CEAT) nchini Tanzania mwishoni…
Tanganyika yasaini mkataba mpya biashara hewa ukaa

Tanganyika yasaini mkataba mpya biashara hewa ukaa

KATAVI: Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika mkoani Katavi imesaini mkataba mpya wa biashara ya hewa ukaa baina yao na Taasisi…
Tanzania kuokoa mabilioni kwenye viuatilifu

Tanzania kuokoa mabilioni kwenye viuatilifu

DAR ES SALAAM: Tanzania iko mbioni kuokoa zaidi ya shilingi bilioni 4 zinazotumika kuagiza viuatilifu vya kilimo kutoka nje ya…
Serikali yakabidhiwa boti mbili ziwa victoria

Serikali yakabidhiwa boti mbili ziwa victoria

MWANZA: Serikali kupitia Wizara ya Mifugo na Uvuvi imekabidhiwa boti mbili kutoka Taasisi ya Uvuvi ya Ziwa Victoria (LVFO) ya…
Buchosa kulima parachichi

Buchosa kulima parachichi

WANANCHI wa Jimbo la Buchosa Wilaya Sengerema mkoani Mwanza wanatarajiwa kuanza kilimo cha zao la parachichi kutokana na mazingira ya…
Wanunuzi wa Pamba wampa 5 Rais Samia Mradi wa BBT

Wanunuzi wa Pamba wampa 5 Rais Samia Mradi wa BBT

SIMIYU: Chama cha wanunuzi wa pamba nchini (TCA) kimemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan, kwa kuanzisha mradi wa Jenga kesho iliyo…
“Tanzania imepiga jeki uchumi nchi za Kusini mwa Jangwa la Sahara”

“Tanzania imepiga jeki uchumi nchi za Kusini mwa Jangwa la Sahara”

DAR ES SALAAM: TANZANIA imekua kitovu cha uwekezaji na kusababisha ukuaji wa uchumi katika nchi za Kusini mwa Jangwa la…
Makusanyo ya Kodi yapo chini – Dk Mpango

Makusanyo ya Kodi yapo chini – Dk Mpango

DAR ES SALAAM: Serikali imesema kwa muongo mmoja toka mwaka 2010 hadi 2023 makusanyo ya kodi yamekuwa chini ya asilimia…
Serikali kudhibiti mfumuko wa bei

Serikali kudhibiti mfumuko wa bei

DAR ES SALAAM: Makamu wa Rais, Dk Philip Mpango amesema mfumuko wa bei nchini umeendelea kudhibitiwa ambapo kwa kipindi cha…
Back to top button